lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

yule kristo - sacred heart parish youth choir lyrics

Loading...

yule yule kristu yule yule (yule)
yule yule kristu yule (yule)
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
bwana ndiye mchungaji w*ngu, sitapungukiwa na kitu
na katika, malisho ya majani mabichi hunilaza
kando ya maji ya utulivu huniongoza
yule yule kristu yule yule (yule)
yule yule kristu yule (yule)
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
bwana aliniokoa, kutoka kwa maadui adui zangu
aliniokoa kutoka kwa watesi, watesi w*ngu
kwa maana yeye alipendezwa nami
yule yule kristu yule yule (yule)
yule yule kristu yule (yule)
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
nampenda bwana, kwa maana amenitegea sikio, sikio lake
nampenda bwana kwa kuwa anaisikiliza, sauti yangu
kamba za mauti, zilinizunguka shida za kuzimu, zilinipata
nikamwita bwana akaiokoa nafsi yangu, akaniponya
yule yule kristu yule yule (yule)
yule yule kristu yule (yule)
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele
ni yule yule (krisyu) jana na leo kristu ni yule yule
ni yule daima na milele

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...