lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ewe mola wangu nipe moyo wa subira - sabah salum lyrics

Loading...

ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira * sabah salum

yaillah yaillah nipe moyo wa subira
yaillah yaillah nipe moyo wa subira
na kila lai kiraiii lipite pasi madhara
na kila lai kiraiii lipite pasi madharaa
niweze kutanabariii iwe kw*ngu m*n*suraa
niweze kutanabariii iwe kw*ngu m*n*suraa

ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
aaaaaahhhhh
ooooooohhh
aaaaaaahhhhhh
aaaaaahhhhhhhhh

usubiri moyo w*ngu k*mi lililo boraa
usubiri moyo w*ngu k*mi lililo boraa
yanijiapo machungununipe njema busara
yanijiapo machungununipe njema busara
ninusuru mola w*ngu nisiwe nazo hasiraa
ninusuru mola w*ngu nisiwe nazo hasiraa

ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo

nayale yenye karahaa matatizo mazingiraa
nayale yenye karahaa matatizo mazingira
moyo uwe na nasahaaa na njema nyingi fikiraaa
moyo uwe na nasahaaa na njema nyingi fikiraaa
nijaalie furahaa kwako naomba stara
nijaalie furahaa kwako naomba stara

ewе mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w*ngu nipе moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
yaillah yaillah nipe moyo imara
yaillah yaillah nipe moyo imara
niweze kujinaswii isinifike idharaa
niweze kujinaswii isinifike idharaa
mola w*ngu uniwahi nguvu na zako kudura
mola w*ngu uniwahi nguvu na zako kudura

ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w*ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w*ngu nisitiri mja wakoo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...