lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vip freestyle nò1 - rowishi lyrics

Loading...

intro
huuu..king sn…yeeah
hahaaa..i told you

verse
sipigi pamba kuficha njaa
itigi natamba iringa dar
mwana acha nivume mi ndo superstar
acha usijivune kwa alichokupa jah (robert william)
mi ndo yule jamaa,mkali sana
naekupa shule alafu bure,sali sana
cassim ni majaliwa lema ni godblessings
tulofanikiwa kutisha bila hela we’re kings
nidiss kwa uchafu wa level naokuchafua
nikiss kwenye shavu malengo yananijua
mungu amebless hichi kichwa sio siri babu
ndugu wana mapenzi ya urithi sio real love
mungu mkubwa,ona chalii nainuka
kina mac muga wana bidii ya kunishusha
mi huwa nashinda kila vita homeboy
madingi washayatimba nawa adabisha big boy
mkono wa mungu sio mkono wa sarafina
mkono wa mungu haugawi mtonyo kwa majina
kulewa sio deal mkanyagie ibilisi
k*megewa ni siri usiwatangazie polisi
vuja jacho na ujue walaji wengi
vunja couple utanue,ushkaji pending
mi natisha na wala hawaninyaki
madingi shawakalisha ndo maana hawanitaki
bridge:by albert mangwea (ngwair) ( mademu w*ngu)

mademu w*ngu wotе mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote ntawapigia
sijali kabila bali zеnu tabia
na uzuri wenu ndo vinavyonivutia

no,siyo mimi siyo mimi fans
nina demu mmoja siyo gigy siyo mimi mars
sina mawenge ya p cleofas
naua kifo cha mende kama uko pii leo basi
wema wa mungu siyo wema wa sepetu
mi siyo mr ii sugu sina rehema za yesu
pesa ziko kimya,kipaji kinaongea
ambia watu wazima haya maji siyo ya kuogelea
mi ni nuru,acha nimulike dhambi zao
niko huru,ndo time nifunike chart zao
nyumba siyo kali ila nimedata na choo
na beat kali kama hii zinataka flow
rhymes,nimeandika zina sifa zinapigwa
vocal zinasikika zinatisha zimeiva
pisi ni mingi zinazozimika nami
sina hofu ya shilingi chimbo hatosifika nyani

bridge:by daz baba (namba 8)
mrembo namba nane ananichanganya
toka moyoni nasema nampenda sana
ebu piga hilo gitaa majani zaidi ya santana
ili nami nimuimbie mamaa

dear future wife
jisogeze uhemee kw*ngu maana mimi ndo nakupa life
na nitakupa mbingu na nchi
ka vipi twenzetu church nikupige pingu na miti
life siyo ngumu ni simple ukiwa nami
vaa ugumu isiwe simple kuliwa honey
nastahili mawe
mi ni mti wenye matunda kila safari ntasafiri nawe
na nilishalala polisi central
nikashtakiwa kama mwizi wa escrow
unyama mwingi mwaisa mtu mbad
madingi hawana jipya shawaficha mtu kati

bridge:by mwana fa & lady jay dee (hawajui)

hawajui tulikotoka
watajuaje tunakokwenda
ya kwao yanawashinda
yetu hawataweza

mi ni vip nyumbani mwao
mi ni mnyama kama tid na sina utani nao
sina wivu na sina uchovu wa fikra
napendwa na yesu na sina kove kwa bikira
waambie wana niko peace kama jongwe
mbeya naibeba sana kama juliana songwe
mungu amenipa siri wasiozijua wasomi
maboss hawalali nasumbua ndotoni
mungu awalaze pema langa na geez
king zilla, cow*obama, cow weezy
walonipa kibano dh wana haramu
sura zao zina nyuzi mi n*z*di kuwa handsome
bridge:by juma nature & inspector haroun (mzee wa busara)

mzee wa busara
vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara
ni mzee ambae tunaishi nae kwenye nyumba za kupanga

mzee wa busara
vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara
na tena majirani wanahisi hiyu bwana mw*nga
mzee wa busara

end

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...