jieleze - rorexxie lyrics
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
kabla sijazaliwa uliitwa ′beautiful’
wala hukujutia kupoteza ule uziri (kupoteza ule uziri)
mimba ukafurahia ukanileya mpaka naanza school
ukanikataza mabaya, nakunifunza mazuri
mama, baba anatazama
nakuwatunza mama na wana
kitu kidogo lawama
wa kwanza, anataka msosi
wa mwisho, maziwa halisi
wakati anaumwa anahisi, hapendwi homa hazimwishi
niite ′mkushi’, ila sikitu bila mama kushi
sipingi sibishi mama kushi nizaidi ya mjeshi
niite ‘mkushi′ ila sikitu bila mama kushi
sipingi sibishi mama kushi nizaidi ya mjeshi
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
hata kama jizi wakula majalalani
mama yako ni wako, jirani na wajirani
wakwako tajiri wa kw*ngu ni masikini
mumezaliwa wawili sisi tuko kama k*mi
kichwani na mzigo, mgongoni na mtoto
kazi kubwa na ndogo, zote yeye
kichwani na mzigo, mgongoni na mtoto
kazi kubwa na ndogo ooh
pole, mama kushi, matatizo huwa hayaishi
pole, mama kushi
usingependa mi′nisingeishi, leo!
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
(jieleze, jieleze)
(jieleze, jieleze)
(ntajieleza mama aah)
(nitajieleza mama aah)
Random Song Lyrics :
- sleeping in the dark - emagination lyrics
- family guy inflatables (reinflated version) - ryder thomas lyrics
- jerung dan kelawar - slatan lyrics
- love can be so cold - george duke lyrics
- blue bandana montana - daddymommy lyrics
- giorgia - suspect cb lyrics
- love b.b.b x trap queen (tears of pain mix) - thay john lyrics
- aguirre, la ira de dios - mechavrita lyrics
- pause - b1a4 lyrics
- please, leave - sue allen lyrics