ndakass/clout freestyle - rookace gang 254 lyrics
intro
(kipchoge rings as a ringtone)
hallo bro? yo yo
naskia kuna wale maratchet wana mdomo. walai?
wacha tuwaonyeshe vile kunaendanga, au sio
yoo aah check it
rookace aah ya
yao less gerrit
verse 1
na vile namada mimi ni master, (tizaa!)
mimi ni babi na rasta, (hjaa!)
napenda mashada, leta udaku, (daku!)
napenda umama, (hjaa!)
double m verse 1
master amesema (twende)
skiza kameme siezi kupanda (panda)
wacha kash*sh* (eiy)
skiza mistari naleta uhondo (uhondo)
verse 2
nakuja vinoma naleta uhondo kenyan rap sio bongo, (bong’o!)
dj vin ndio king, (hjaa!) na dj crash ndio master
sipendi ufala sipendi ushenzi mafala kutrap kwa beat, (beat!)
na sisi ndo king hakuna bahati nipate na gang kwa streets, (ooou!)
na mbogi ni gani kama si rookace tukikuja maviboko, (bokoo!)
na wako na wapi leta mabeat nipashe marapper bonoko, (hjaa!)
double m verse 2
ati bonoko? (prrrrrr)
bonoko na mbusi cheki master unachoma (twende)
nimechoma adi shule na nitachoma hawa marappers(eiyyy)
12 bars wanaspit,cheki master hawa majoker (joker)
daily kupost madiva nyege kujaza ka priest wa catho (catho)
buda unashine mikono dryspell mapunyeto (arimis)
afrima nakam vifire 2020 niko ndakas ndakas (wee)
tumekuja kuwateka miky na tiza tumekuja kuwazika(woow woow)
zika kabisa bure kabisa cheki natema na tiza
hook
do anything for rap, (oyaaaa! whaaaat?)
do anything for rap, (whaaat? whoops!)
do anything for rap, do anything for rap (aaah! getem)
verse 3
do anything for rap napenda kudunga mafila na vans, (vans!)
madome si akona bars kucheza mabeat kama kadenge, (whoo!)
na gang ni ngori uzuri napenda kuwasha na mbogi, (aaahj aaahj!)
kuja na fee nikuje na rungu mafala nakuja mtubu, (raaa!)
double m verse 3
sitaki zogo mi si bondi cheki boss mi ni conny(eiyyy)
piga makofi kama unangori shika mashete nishike kidungi(woow)
ruka ruka kama choge buda usirushe makonde manzi yako ni kamene(kamene)
she taking the d*ck for clout,b*tch
she taking the cum for clout(twende)
n*ggas are getting lonely coz there b*tches are dying for clout (yeah)
verse 4
hahaha…check it
akina nani ni master kama si mimi na makavelli, (buuudaaa!)
na biz nimekafunga na sande nipate naboll na kelly, (aaaaii!)
na gang ni ngori ni sisi kusema kutenda kaa gully na gaza, (whoooo!)
ni timba sahara hakuna majombe hakuna magucci na prada, (pradaa!)
na mimi ni master na yeye ni chief hii ni kaa rambo kanambo, (kanamboo!)
sitaki collabo tuskize nani hii ni kombi ya biggie na kratos, (aahj!)
newish ugali na chapo na kama si mbogi nipate na kanjo, (eeeeei!)
niskize na nikikafunga sipendii majegi napenda matako
double m verse 4
cheki master mi napenda majegi kubengi mahaga nipate imenti(imenti)
n*z*ma kifwaka sipendi nawasha kishada navuta na santa na teddy(teddy)
hustle napiga 2 daily mafosa naseti na bado sichoki kuteka mababy(baby)
master namwasha kishada na bado nachunga asidedi akue matheri
na bado namedi wikendi napiga mangoma na deni na bado sibebwi
sipendi kupiga mambicha mambichwa nawasha namedi na bety
mimi ni chief,cj ni master maluku mafosa na yeezy na yeye si thegi
nakama si chezi na cj na basi nipate nakebo na mary
sichoki kutema mistari ju bado nataka kuzima marapper malazy
aaah, danything for rap
aah yaa, do anything for rap
aah do anything for rap
do anything for rap
yooo, hahaha..
something like that n*gga
Random Song Lyrics :
- gelatig - japo & svrn lyrics
- d10s - grecas & nazek j lyrics
- con un po' meno pelle addosso - irene buselli lyrics
- supa (with nexus) - laflareboi lyrics
- heartache - jades lyrics
- fakevvorld - lxner & rizza lyrics
- con lo guapa k tú ere - retro1312 lyrics
- min hatt - captain morgan(2) lyrics
- right on - vayda lyrics
- fifteen minutes of blame - altered five blues band lyrics