b(l)ack against the wall - romi swahili lyrics
b(l)ack against the wall
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
ah, niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall
verse 1
tangu cradle, hii ni historia bado ikiwa bikra
down mpaka tukajua vita again na kuunganishwa na islam
tangu utumwa down mpaka tukajua racism ya negro
mpaka sahii tuko free within kuta za cathedral
tukiimba litanies za watawa, si hii ni black power
ya ma*warrior na ma*hero ju afrika haijai kuwa ya ma*coward
niongeze, already time ilitu*confine ka womb ya mama
future huwa njiani inakuja na for some reason leo kesho haiezi kuwa jana
my people, inaeza kuwa ni laana
ubuntu, kuona tofauti zetu badala ya vile tunafaana
wanaishi kwa denial, chenye walikula kinajulikana
sa wamekunyia na mavi kwa broad daylight wanaikana
hauezi train farasi na shout na u*expect ita*obey whisper
on the flipside, ma*leader wakakuwa born again na anatomy ya hitler
outreach ya injili, kubadilisha lengo kwa mission
sahii gospel yao imejaa ma*r*t*rd kwa eye vision
in the name of immunisation, waka*spread ignorance na polio
ju ya kutaka more than tulihitaji, tuka*sign ma*portfolio
remedy worse kuliko ugonjwa, makachero wakahongwa
ma*prophet wakapeanwa kwa njia za damu, mikono zikaogwa
njia zikapasuliwa kwa shrine na sanamu zikachongwa
wisdom ikakuwa lost, kwani native tongues hazikubongwa?
nijiulize vile tutavunja hizi spiritual barriers
ju ka god ni puzzle, kila mmoja wetu ni carrier
vile tulipoteza glory tulipatiwa earlier
sahii sacred scripts ziko kwa mikono ya terrible guardians
itabaki tui*take it back before timing
back past clocks, landmarks, clouds again na silver lining
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
rather, niko na my black against the wall
rather, niko na black against the wall
verse 2
niko kwa highway motel wana*feel presence yangu
ambia waiter coffee ikuje black ka essence yangu
as i rehe*rs* mistari ya your favourite black poet kwa kichwa
hii ni life yangu, pen na paper, insha, inshallah
yao ni omission, walikufunza uongo from the start
yangu ni commission, na*push truth kwa bongo na hii art
kwa mkono niko na two aces, three kings and a queen
niki*gamble mchanga itanizalia mbegu zikiwa twin
inanik*mbusha vile tulifuga ngamia, mbuzi na ng’ombe
tukapamba mabonde, na greenness ya pareto na makonge
tulikuwa vibonge before idara za ku*nurse na kusaidia wanyonge
na mipango ilikuwa kwa mass na kufaidikia matonge
majina za hypocrites zimebebwa kwa vitabu
za historia, novels za bure na nyota za dhakabu
statue baada ya mauti, huu veteran alikuwa tofauti
alitetea haki za wanyonge bila hata kutoa sauti
conspiracies za handshake, media cameras na suti
pan*africanist, already alicheki historia ina*take bad footing
ku*reverse past, hauezi vua nguo ka already uko uchi
na hauezi peleka jua kortini ili*cast shadow ukiwa mfupi
si*complain kuhusu our dead slave masters
vile waliunda mipaka, trigger finger spread under disaster
kutu*squeeze tutoe labour ka oil na mbegu za castor
waka*rape our past, product ni child soldiers na ma*b*st*rd
na hakuna venye pope angekuwa black, ni conspiracy
bila kutaja vile ilifaa kuwa black statue ya liberty
breeds za fallacy, spiritual bodies bila autonomy
mpaka ma*scholars self*inflicting cultural sodomy
enough of the same preachers, tung’oe magugu kwa madhabahu
it takes more than wishes, oppression kugeuzia adui shavu
imefika ile point doggy ilicheki reflection ya mfupa kwa maji
tuki*stretch kufikia vitu tunataka na kuachilia zenye tunahitaji
(hook)
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
niko na my black against the wall
rather, niko na my black against the wall
niko na my back against the wall
niko na my back against the wall
rather, niko na my black against the wall
rather, niko na black against the wall
(outro)
yo, descendants
tuko na heritage tunafaa ku*cherish
but through k*mada wenye tuna*share birthright, tuta*perish
yo, romi swahili, signing out
naongea na wewe!
Random Song Lyrics :
- white sheets - julia alexa lyrics
- julian - underground springhouse lyrics
- relajao - jos canela lyrics
- koga da milujem - merima njegomir lyrics
- 1 shot 2 - from slam live session - say mo lyrics
- pls wake me up - ☆luvhex☆ lyrics
- zutano (chico de agallas) - grupo 360 lyrics
- #bbodybagzz prod zaphkiel - is2k lyrics
- brighten up your day! - 竹内まりや (mariya takeuchi) lyrics
- bunun adı aşk - ufuk beydemir lyrics