chachisha - romeezy98 × j mnatiy × xclo lyrics
hook:
uh , ongeza volume deejay
kuna watu wako rada ya kuparty i say
si hukua wale wasee ,wenye huturn up bila delay
mama uko fiti i say ,unafaa kua kwenye vip bure
venye unakatika mazee ,unafanya naskia kukupeleka baze
basi wewe chachisha , chachisha
basi wewe chachisha ,chachisha
basi wewe chachisha , chachisha
na usiogope msee
verse 1: (romeezy98)
cheki!
drop it to the floor, pick it up
anytime i want it ,she gon give it up
puff puff puff then i sip it up
three words for ya , live it up
nimekuja na jeshi ya mafisi
no pants no bra no kamisi
staki story mi staki hadithi
twende keja nikakupige miti
see ,i make her disappear like a geenie
pour a drink , smoke ls but we winning
plenty ice on my wrist got/catch me freezing
making money i ain’t really with the beefing
dem monkey ,ve’ anataka hii ndizi
backshot ,left right shika chini
turn up lil mama ,get freaky
now put your hands in the air if you hear me
hook:
uh , ongeza volume deejay
kuna watu wako rada ya kuparty i say
si hukua wale wasee ,wenye huturn up bila delay
mama uko fiti i say ,unafaa kua kwenye vip bure
venye unakatika mazee ,unafanya naskia kukupeleka baze
basi wewe chachisha , chachisha
basi wewe chachisha ,chachisha
basi wewe chachisha , chachisha
na usiogope msee
verse 2:(xclo)
ala!
am feeling so fresh homie guess that’s why am hyped up
kwa klabu na waresh on me dj better amp up
shoddies on drank got them wilding like its campus days yeah where we party till the suns up
i could take you to my place but promise you won’t stay ,i just don’t feel like we could sum up
niko maji niko eazy sijihisi na mapenzi
even tho you drive crazy that don’t mean that you my lady
i didn’t know you before now we dancing on the floor
approached you on the corner now am bout to make a score
got a tool you know what it’s for i ain’t got to say it
they say fake it to make it me am tryna erase it
(basics)yeah guess i change things
and amma change this sh-t up so n-gg-s face it
(facts)
repping ke to the ny to the a
shasha daily kwanza ngware in the am
kama una noma lamba lila
usiniletee compete
sai madrii kwa meza tuna chachisha manzee
hook:
uh , ongeza volume deejay
kuna watu wako rada ya kuparty i say
si hukua wale wasee ,wenye huturn up bila delay
mama uko fiti i say ,unafaa kua kwenye vip bure
venye unakatika mazee ,unafanya naskia kukupeleka baze
basi wewe chachisha , chachisha
basi wewe chachisha ,chachisha
basi wewe chachisha , chachisha
na usiogope msee
verse 3:(j mnatiy)
huh huh!
nipee dakika moja nikiseti juu kuna venye me nadai kuskia fiti bruh(bruuuuuuuh)
mresh umesimama saaana baaana ata kaa mahali uko umekati
na venye unakaataa maaah jeshi ikikuspoti unajua wataitaka
lakini leo ni mee na wee jooooh ebu tujifanye tuko busy (buuuuuusy)
kata maaaah sipendi ukiketi naaa usikubaaaa li zako zishuke naaaah
kaa ni maaaji we ongezea alaaafu dance floor itakua yako
waonyeshe venye una matako
waonyeshe venye we uko zako
alaaafu uwatoke na kavaako, uwatoke na kavako
zikishika me hupenda kuingia kwenye dance floor na kufanya mambo angalaau
wakizima jeshi huwachangamkia unaeza dhaani ni makarau
venye unakata maah unanifanya niskie kuuza ploti ya mzae twende rio
mdogomdogo mama si unajua tuko solo so hakuna haja tuende mbio
hook:
uh , ongeza volume deejay
kuna watu wako rada ya kuparty i say
si hukua wale wasee ,wenye huturn up bila delay
mama uko fiti i say ,unafaa kua kwenye vip bure
venye unakatika mazee ,unafanya naskia kukupeleka baze
basi wewe chachisha , chachisha
basi wewe chachisha ,chachisha
basi wewe chachisha , chachisha
na usiogope msee
basi wewe chachisha , chachisha
basi wewe chachisha ,chachisha
basi wewe chachisha , chachisha
na usiogope mseeeeeee!
Random Song Lyrics :
- who do you run to? - ry$ter lyrics
- kad plaču grlice - plavi orkestar lyrics
- le pays oublié - dick rivers lyrics
- where yr money goes - she/her/hers lyrics
- intro - kovbojok lyrics
- itch - dababy lyrics
- i'll be there - jinuine lyrics
- sweet pea - luncheon lyrics
- si jamais - dick rivers lyrics
- chains of clay - gary chapman lyrics