upweke - romantico & samaki mkuu lyrics
ey yo
ye tu sabe
el romantico na samaki mkuu
you know?
tuko pamoya
rukuz music
weka muziki
[chorus]
upweke upweke
hakuna mapenzi
upweke upweke
hakuna wazazi
upweke upweke
hakuna mizizi
upweke upweke
[verse: samaki mkuu]
unapowasili kiw*ngo cha juu
utawaona wachache tu
utaanza kuwa na upweke
utachekelewa usiwasikize
nikisafiri kwenda ng’ambo
pekee yangu kutoka kitambo
kuwa ugaibuni, bila karibuni
kunahuzunisha moyo
and then i feel like a yoyo
going up and down
round and round in an alien town
working on a new sound
ache upweke moyoni nikuweke
[pre*chorus]
acha hapa ni sisi
tucheze hadi kwa mizizi
acha hapa ni sisi
tucheze hadi kwa mizizi
[chorus]
upweke upweke
hakuna mapenzi
upweke upweke
hakuna wazazi
upweke upweke
hakuna mizizi
upweke upweke
[verse: samaki mkuu]
unanipokea bila wasiwasi
nataka kukupenda kwa kasi
sijajua roho kama yako
tukiwa pamoja furaha itako
with you i can be anything
you make me feel like a king
who’s able to believe, so i’ll never leave
i’ll love you forever no matter the weather
wewe na mimi tumekuwa sisi
kaskazini hadi kusini
kweli sipendi kutokuwa nawe
moyo w*ngu unakuwa jiwe
keepin’ it shaken and swirled
tutashika the world
sasa tusonge mbele
umoja baada ya upweke
[pre*chorus]
sitaki sitaki kulia
nataka nataka furaha
sitaki sitaki kulia
nataka nataka furaha
[chorus]
upweke upweke
hakuna mapenzi
upweke upweke
hakuna wazazi
upweke upweke
hakuna mizizi
upweke upweke
[verse: romantico]
no te ye tenga si adelante
vamo luchando luca te canse
como cancion eres un campeon
dale sazon con el corazon
you’ve got the power
to strike at the tower
acha na hawa
wewe ni sawa
hapa pour le granbi sawa
wewe ni noma
kama kama kawa
el ritmo que siga nunca separe
el ritmo que siga nunca separe
teine coraque tiene bailor
pate la abierta a peire de amor
[pre*chorus]
acha hapa ni sisi
tucheze hadi kwa mizizi
acha hapa ni sisi
tucheze hadi kwa mizizi
[chorus x2]
upweke upweke
hakuna mapenzi
upweke upweke
hakuna wazazi
upweke upweke
hakuna mizizi
upweke upweke
ey yo
romantico na samaki mkuu
teneo ritmo
no te sientas triste no no
rukuz music
ye tu sabes
funga funga muziki
Random Song Lyrics :
- all star branco - the lucywood lyrics
- yooch - t.o.t.u lyrics
- griselda records takeover freestyle - sway in the morning lyrics
- limbo - the narrows lyrics
- tippy toe - femi one lyrics
- l'astronaute - dooz kawa lyrics
- u.p - sucha yaar lyrics
- supercell freeverse - hydrophonyx_aka_vinem lyrics
- lot (the beginning) - reto lyrics
- honey - carey st lyrics