tiki tiki - romantico & samaki mkuu lyrics
intro (sergeant nyakundi)
aii hii ni kali kweli
hehehe
gengetone imeamua kwenda mexico
imezunguka algeria
imekuja mpaka sasa kenya
hehehe
big up wazito wote wa genge
walikuwa wakisema gengetone itaenda mahali
sasa gengetone imeanza kusema
hahahaaaa
chorus (prince amani & samaki mkuu)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
verse 1 (romantico)
atiki tiki tiki ndiyo style imekam
atiki tiki tiki ndiyo dance imewom
wapi wagenge huku wamekam
wapi madem huku wamejam
hii dance imetoka majolo
wala si akina wanjooro
tiki tiki imetoka veracruz
na imefika kenya bila marules
dance ya maboy, dance ya madem
watoto hadi mahustla
dance fiti, siki fiti fiti
ukiketi, yaani tiki tiki
bridge (prince amani & romantico)
a tiki tiki tiki tiki there – tiki*taa
a tiki tiki tiki tiki there – tiki*taa
a tiki tiki tiki tiki there – tiki*taa
dance fitifiti, yaani tiki tiki
chorus (prince amani & samaki mkuu)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
(repeat x 2)
verse 2 (samaki mkuu)
hii ni gengetone imefika nchi
sauti yake imeanza kuzidi
geto mu*si*ache mamanzi
kutoka barani hadi pwani
dance hii itawafurahisha
kenya, u*g na tanzania
ukiketi anza kusimama
mwili wako utatetemeka
oh, klabu imeshika
sababu tumefika
ilihitajika
sisi waafrika pamoja pamoja
bridge (prince amani & gabzo)
a tiki tiki tiki tiki there – rwanda
a tiki tiki tiki tiki there – burundi
a tiki tiki tiki tiki there – naija
dance fitifiti, yaani tiki tiki
chorus (prince amani & samaki mkuu)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
(repeat x 2)
verse 3 (romantico)
baila tiki tiki, cheza tiki tiki
oye que la nena como quiere el tiki tiki
baila tiki tiki, cheza tiki tiki
mira que la nena como quiere el tiki tiki
mira como haciendolo
el ritmo que lo esta poniendolo
esto que te esta gustando
y la gente lo esta bailando
pala gente que lo bailan yal
pa los chicos que lo bailan yal
pa las nenas que lo bailan yal
muevete, muevete, bailan yal
bridge (samaki mkuu)
oh, klabu imeshika
sababu tumefika
ilihitajika
sisi waafrika pamoja pamjoa
chorus (prince amani & samaki mkuu)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
cheza tiki tiki boom boom (cheza)
(repeat x 4)
outro (sergeant nyakundi)
hii ni kali sana hii yaani
hehehe
big up nyanya yangu
alisema sitaienda studio
saa hii niko na rukuz
tumemaliza kazi
kata, kata rukuz
kata rukuz
kata, kata, kata
asante sana!
Random Song Lyrics :
- ese es el bongo bongo - sebastián lyrics
- live in nieuwe de la mar, amsterdam / 1968 - wim sonneveld lyrics
- three tequila, floor - cody wickline lyrics
- muy lejos de aquí - clonmarioneta lyrics
- upper hand - rebelution lyrics
- rai de lumière - ludéal lyrics
- ji ji ji - lito vitale feat. juan carlos baglietto lyrics
- v loužích - lucie bílá lyrics
- وين أنت - حمدان المري lyrics
- insomnii - smiley lyrics