lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kenya pamoja (remastered) - romantico, samaki mkuu, dinah ndombi lyrics

Loading...

kenya pamoja (najivunia kuwa mkenya)
tutashinda
nchi moja
ya mashujaa (the pride of being kenyan)
kenya pamoja (one team)

kenya pamoja
tutashinda
nchi moja
ya mashujaa
kenya pamoja

ukizuru kote ulimwengu
utafahamu maajabu
ya nchi yetu, urembo wa misitu
ardhi ya jitu, chakula kitamu
kila siku tunatabasamu
lakini ni muhimu kupata elimu
kuhusu binadamu wetu wakarimu
wanyenyekevu na wataalamu
wanaothubutu kufuata majuk*mu
na nidhamu, machozi na damu
tunahitaji kuja timamu
na k*mshukuru mungu wetu
pamoja we make one heck of a crew
tukiamini as one we’ll make it through
reject the falsehoods and stay true
right here ndoto zako can come true
a land that motivates and inspires
just ask eliud, the man that never tires
opening your eyes is all that it requires
diversity our strength, don’t listen to the liars
we’ll serve one another and fulfill our desires
let’s pull together whatever transpires
and sing together like an expert choir
kenya taifa letu!

kenya pamoja
tutashinda
nchi moja
ya mashujaa
kenya pamoja

tuko pamoja mpaka mwisho
songa songa kwa upendo
tuko pamoja mpaka mwisho
songa songa kwa upendo
usijali kwenda mbali
kuna jadi kila mahali
tuna nchi ni lizuri
lugha makabila mengi

kenya yetu, mahali pazuri
mombasa ni joto kama kisumu
idhi nade?
adhi maber
chamgei chamgei mising
kongoi kongoi
kukimbia kileleni
kama kale
aterere
reke gwere
ni kikuyu
kama meru
muga muno
mirembe muno
hii ni luhya
wachee wa hata
ni kikamba
kisii karibu na kuria
amang’ana mbuya
ejokoo
ni turkana
maasai, samburu
sopa? epa
ashe oleng
taita*taveta
urewedi
teso yoga
ijai biai?
kenya pamoja
tutashinda
nchi moja
ya mashujaa
kenya pamoja

tuko pamoja mpaka mwisho
songa songa kwa upendo
tuko pamoja mpaka mwisho
songa songa kwa upendo
usijali kwenda mbali
kuna jadi kila mahali
tuna nchi ni lizuri
lugha makabila mengi

kenya pamoja
tutashinda
nchi moja
ya mashujaa
kenya pamoja

kenya pamoja (hey yo)
tutashinda (ya tu sabe)
nchi moja (romantico na samaki mkuu)
ya mashujaa (evano, gabzo, rukuz productions)
kenya pamoja (64 hip hop, kenya pamoja)
one team

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...