upo moyoni - rodjazz lyrics
upo moyoni lyrics
song title: upo moyoni
verse one
hivi bado unafikiria
vile vyote tuliweka rehani
ili mapenzi yetu yaendelee
(ili mapenzi yetu yaendelee)
hivi bado waniwaza mimi
au basi tena sipo moyoni
huenda hauniwazii tena
(tena tena)
ooh, kila siku baby nakuwaza
huenda mpenzi haunitaki tena
daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
ooh, kila siku baby nakuwaza
huenda mpenzi haunitaki tena
daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
chorus
ooh, bado upo moyoni
upo moyoni, upo moyoni
ooh, bado upo moyoni
upo moyoni, yeah
verse two
nyumba imebaki boma
nilipenda ubaki ukagoma
mapenzi hayakutosha
na moyo w*ngu bado kukoma
ubongo umekosa namna, yeah
naamini utarudi yeeah
ooh, kila siku baby nakuwaza
huenda mpenzi haunitaki tena
daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
ooh kila siku baby nakuwaza
huenda mpenzi haunitaki tena
daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
chorus
ooh, bado upo moyoni
upo moyoni, upo moyoni
ooh, bado upo moyoni
upo moyoni, yeah
ooh, bado upo moyoni
upo moyoni, upo moyoni
ooh bado upo moyoni
upo moyoni, yeah
bridge
usiporudi nitabaki mkiwa
usiporudi nitabaki mwenyewe
naomba nielewe
usiporudi nitabaki mwenyewe
usiporudi nitabaki mwenyewe
naomba nielewe uuuh
Random Song Lyrics :
- revenant - syr lyrics
- fxcked up - xxxmentally lyrics
- i get crunk - duke deuce lyrics
- wannabe - the mothercampers lyrics
- when i wanted you - selorm lyrics
- invincible - seventh wonder lyrics
- outlaw - slim guerilla lyrics
- next to you (made in muscle shoals) - the revivalists lyrics
- happening again - katherine li lyrics
- plašim se - nada obrić lyrics