wamoto - rich mavoko lyrics
(moko!)
kama sanamu ukicheka
una sura ya mdoli
siwezi kuneng’eneka
kwako mateka kigoli
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k*mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k*muona (wamoto huyo)
anakomesha sista duu
wanamuita mama yao
namtamani kwa bedi tuu
kanikomesha kwa viwalu
hayo macho ukimwona
kama amekula kungu
alipofumuka anashona
huko nyuma kama nundu
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k*mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k*muona (wamoto huyo)
mi bado sijatulia (n*z*changa changa)
usipagawe jina (n*z*changa changa)
nitaunda hata rubia (n*z*changa changa)
ili kukata bima (n*z*changa changa)
nafanya tu nikupate (n*z*changa changa)
ili niwe na wewe (n*z*changa changa)
afya nikuvishe pete (n*z*changa changa)
uje nyumbani kinole (n*z*changa changa)
baby!
Random Song Lyrics :
- talk of the town - fredo lyrics
- maria - the four tops lyrics
- smoke [дым] - whiterozzz lyrics
- you don't care - symphani soto lyrics
- shinonome - pauvre biche lyrics
- ik denk meestal aan jou - bløf lyrics
- waiting all night - henmind lyrics
- ready the astronaut - william fitzsimmons lyrics
- uchiha uzumaki - gameboyjones lyrics
- sequestro - mc gato lyrics