usizuge - rich mavoko lyrics
yaani mzuri nishai
ukimtazama ana hiyo rangi ya dubai
hapaki ata carolite
namwaga wino me naheti badae
nishaweka sana lindo
hadi ulimbo
wala hanati huyu mrembo
nahisi hataki tuonane, why?
for sure beiby you are mine, why?
iwe usiku iwe mchana, why?
sipati ata company, why?
bora oooh
usizuge baadae, moyoo
si unipe data we, moyoo
umefanana na mama we, moyoo
mimi niwe baba, moyoo
usizuge baadae, moyoo
si unipe data we, moyoo
umefanana na mama we, moyoo
mimi niwe baba
tukarelax garden
tupate mango passion
najua unapendaga fashion
zawadi ya jeans dozen
nikikuona tu nayo smile
ata ukinuna ni mzima
hilo jicho kangopoa
imenitafunga mazima
nishaweka sana lindo
hadi ulimbo
wala hana ati huyu mrembo
nahisi hataki tuonane, why?
for sure beiby you are mine, why?
iwе usiku iwe mchana, why?
sipati ata company, why?
bora oooh
usizuge baadae, moyoo
si unipе data moyoo
umefanana na mama moyo
mimi niwe baba moyoo
usizuge baadae, moyoo
si unipe data moyoo
umefanana na mama moyo
mimi niwe baba moyoo
aje, atanipona
aje, nataka ni fosi
aje, leo ataniongea
aje, aah*aah
Random Song Lyrics :
- kickflip - lasser lyrics
- gang - molly brazy lyrics
- no enemies - barelyanyhook lyrics
- the ship - country teasers lyrics
- ich scheiß' auf euren krieg! - lukas, der rapper lyrics
- walked out - tory lanez lyrics
- without you i'm nothing - greg laswell lyrics
- no affiliation - big beni & aztec coca lyrics
- after thoughts (jèssica há meia noite) - nómada lyrics
- un bon flic mort - jason voriz lyrics