lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

after - reeli lyrics

Loading...

after stick ndio alianza kustick nami
after fame najua watataka kuhung nami
hii life sio easy, so n*z*di kutia bidii

after hard work, the go post my music
na caption waandike my g
ah, its okay
kuomoka ni leo si shoke
nataka kwa bloki nitoke
kijana berro weka biti niroge
nashika baraka n*z*daradara
polepole mpaka tu zinacome
natoka mombasa na vile naroga
wanasema ni uganga ya daresaalam
mandugu naishi nawao
mabladif*ckn hawaezi sema
any complement
msupa naroll na yeye
akiulizwa anasema ati kitu ni complicate
after og na octo ni mimi
hao marapper wengine ni duplicate
you can′t relate
niaje msupa i’ll be coming late
nataka collabo na chemutai
she be dropping a verse in kale
mi ni thegi napora dubai
na kaa una ngori kuja physically
mwene nyaga nawe ni we ghai
niúe kila kedi kiria itare
naweka kikuyu kwa verse
napenda pesa hata kuliko ass
after stick ndio alianza kustick nami
after fame najua watataka kuhung nami
hii life sio easy, so n*z*di kutia bidii
after hard work, the go post my music
na caption waandike my g
after hustle imelipa
wasupa wanajipa
napull up kwa party na g bag
i pesa siokoti nachimba
six in the morning, nishatoka kwa keja
lines ni mingi
ya jana usipige ishakuwa mteja
ni talanta na leisure
kwa maombi nakesha
kwa mziki ni pressure
mafans wanataka kujua
ni ngoma gani nitatoa
nyumbani ni pressure
mother anataka kujua
ni msupa gani nitaoa
na kwa uyo msupa mmoja
tumemake a queue
mi sina feelings
naruka foleni sababu
nimekuja kukata kui
i dont need a crowd to like me
im ok with the few
na video nikitoa
mpaka mahater wanaenda kuview
malipo za mcsk ni dew
ndo mana niko kwenye mboka illegal
digaga lazima
naficha zile macho zangu illegal
nyumbani mombasa
nairobi nakuja kuleta mzigo
reeli, ah
after stick ndio alianza kustick nami
after fame najua watataka kuhung nami
hii life sio easy, so n*z*di kutia bidii
after hard work
the go post my music
na caption waandike my g

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...