woza - rayvanny lyrics
haibooo!
twende, twende, twende
twende hapo twende, twende
aiyayaya yii
twende (woza) twende (woza)
twende (woza) twende (woza)
twende (woza)
eeeh aiyayayayaya
kisigino (kisigino)
kisigino (kisigino)
gusa kisigino
twende shuka shuka, shuka aah!
kisigino (kisigino)
kisigino (kisigino)
gusa kisigino
twende shuka shuka, shuka aah!
be bega (haiboo), be bega (haiboo)
be, twende moja, mbili, tatu
be bega, be bega
be, twende moja, mbili, tatu
nimelewa (nimelewa)
nimekunywa (nimekunywa)
nikitongoza dem wa mtu
sio mimi ni pombe
nimelewa (nimelewa)
nimekunywa (nimekunywa)
nikivua nguo sio mimi
jamani ni pombe
nin’ginin’gia (chini)
nin’ginin’gia (chini)
nin’ginin’gia
kama ukidondoka mi simo
nin’ginin’gia (chini)
nin’ginin’gia (chini)
nin’ginin’gia
kama ukidondoka mi simo
mai maiko, mai maiko
mai maiko, wee wee wee!
mai maiko, mai maiko (jacko!)
mai maiko, wee wee wee!
dada una shepu matata
tikisa tuone hio
weze weze matata
chezesha tuone hio
dada una shepu matata
tikisa tuone hio
zigo zigo matata
chezesha tuone hio
chop chop chop
chop chop chop chop
chop chop chop
chop chop chop chop
nimelewa (nimelewa)
nimekunywa (nimekunywa)
nikikucheat usinune
sio mimi ni pombe
nimelewa (nimelewa)
nimekunywa (nimekunywa)
nikidondoka niokote
sio mimi ni pombe
jeru (left) haiboo
jeru (right) haiboo
jeru back, je jerusalema
jeru (left), jeru (right)
jeru back, je jerusalema
jeru (left) haiboo
jeru (right) maiboo
jeru back, je jerusalema
jeru (left), jeru (right)
jeru back, je jerusalema
Random Song Lyrics :
- всё темнеют (everyone is getting dark) - aizuu lyrics
- dweller - divisive lyrics
- rid of you - natalia lyrics
- number of tha beast - cursed lyrics
- trash bags - scarves lyrics
- la difícil - j álvarez lyrics
- stinking of you - courtney love lyrics
- whoever you love - bilbao lyrics
- lovesong - father koi lyrics
- round - gomi lyrics