wasi wasi - rayvanny lyrics
heyy…
hmm heyy heyy…
mmhmhmmm…
upepo mwanana
nawe upo kifuani mw*ngu
jua likizama
mikono salama
karibu kwenye moyo w*ngu
mi baba uwe mama
aah…
zima taa washa mishumaa
nilishe kama na njaaaa
aah…
kila dakika kila masaa
palilia penzi litasinya
aah…
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w*ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
ntakuganda ruba
pua na leso tufatane
mahabuba
tuwe mapacha tufanane
wenye husuda wakiroga tutengane
ongeza rutuba
nije na pete tuoane
supu chukuchuku
miguu ya vikuku
ayy
utaua ehh
utaua ehh
na haya m*n*sunusu
ukinibusubusu
ayy
maua ehh
maua ehh
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w*ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
ehhhh
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
Random Song Lyrics :
- el retorno de chito cano - los cadetes de linares lyrics
- one word commentary - newsboys lyrics
- donit you know - paul hardcastle,becki biggins lyrics
- free 6ix9ine - lil dumb lyrics
- geburtstag - hooli.hoodpacker lyrics
- look at me (freestyle) - flyyboymj lyrics
- peace be still - rush of fools album version - rush of fools lyrics
- bring on the storm - broadway calls lyrics
- narration - circle of pain lyrics
- mama said - august alsina lyrics