one day yes - rayvanny lyrics
sidanganyi mnapendezana., naona umejipata
umejipata
anakuita honey mmefanana utasema mapacha
ooh mapacha nnnhh
najaribu kukusahau mwendeleee hataka
umenikosea, nikusameh. k*mbuk*mbu kichwani
ipotee labdha na mm nitapendwa one day
kweli wivu ninao na roho inauma
j*po najikaza ila mapemzi yanauma. moyo
umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
naona mmependana bora nikae pembeni
nisubiri wa kw*nguuuuuu
one day yes, one
one day yes. one day yes
nitapata wa kw*ngu
one day yes. one day yes
one day yes
na mimi nitapendwa
unavonisema vibaya ivi unadzani siskiii
mnavyopost kunikomoa ivi unadzani sioni
moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii
nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na b. p
najipa moyo mchana na usiku kwa haya
maumivu yatageuka njoziiiiiiiiiiiiiiii
najipaaaa moyooooo itafika siku nitapa
w*ngu wee atanifuta machoziiiiii
najaribu kukusahau mwendeleee
hataka umenikosea nikusameh
k*mbuk*mbu kichwani ipotee
labdha na nitapendwa one day
kweli wivu ninao na roho inauma
j*po najikaza ila mapemzi yanauma
moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
naona mmependana bora nikae pembeni
nisubiri wa kw*nguuuuuu
one day yes, one
one day yes. one day yes
nitapata wa kw*ngu
one day yes. one day yes
one day yes
na mimi nitapendwa
Random Song Lyrics :
- последний трек (last track) - praisethelord lyrics
- w.a.l.l.s. (electric demo) - dunkie lyrics
- heartbroken i'm lonely - bear1boss lyrics
- lil booger boy - chuck (ft. lil jt) - lilboogerboy lyrics
- errado ou certo - deezy lyrics
- bloc de glace - kekra lyrics
- 너를 보내며 (letting you go) - sechskies lyrics
- didn't we - live at the forum - barbra streisand lyrics
- маяковский (mayakovsky) - наум блик (naum bleek) lyrics
- você foi especial - iguinho e lulinha lyrics