my babe - rayvanny lyrics
aii jamani mbona umenikaa kichwani
umenipa kitu gani baby w*ngu
hadi natamani nikufiche chumbani
wasikuone visirani baby w*ngu
nililia kwa mwenyezi akayaona machozi
kanipa wewe kipenzi kipenzi
ntaimba na tenzi nikutulize laazizi
maana kwako am dead oooh am dead
amenishika kanikamata
mwambieni shemeji yenu apunguze raha
huba shata shata nanenepa
mwambieni shemeji yenu apunguze raha
my sweet sweet babe huyeah
you are my baby
sweet sweet babe onana
you are my babe
my sweet sweet babe huyeah
you are my baby
sweet sweet babe onana
you are my babe
oooh oooh
ulikuwa rafiki ukawa mpenzi
sasa ni rafiki tunaefanya mapenzi
kwako niko rеal sio kama na*pretend no!
yani toka tuna dhiki sasa tuna chenji
nina kupongеza umevumloa mengi
chuki hazijengi kugombana siwezi no
babe you teach me how to love
you teach me how to care
and forever i’ll be there for you uuuh
mtoto unawakawaka
mtoto umetakata kata mrembo
nililia kwa mwenyezi akayaona machozi
kanipa wewe kipenzi kipenzi
ntaimba na tenzi nikutulize laazizi
maana kwako am dead oooh am dead
amenishika kanikamata
mwambieni shemeji yenu apunguze raha
huba shata shata nanenepa
mwambieni shemeji yenu apunguze raha
my sweet sweet babe huyeah
you are my baby
sweet sweet babe onana
you are my babe
my sweet sweet babe huyeah
you are my baby
sweet sweet babe onana
you are my babe
oooh oooh
Random Song Lyrics :
- the power in you - deep obsession lyrics
- knjiga naše ljubavi - biserka spevec lyrics
- the fallen: intro- part i - slimey tay lyrics
- лучше не болтай (better not talk) - dfysaga lyrics
- muddy water - live af version - the deslondes lyrics
- scrapped - sinisterb lyrics
- it's always something! - nicólas soul lyrics
- theory of everything (commentary) - amaranthe lyrics
- jesus, etc. - josiah and the bonnevilles & richy mitch & the coal miners lyrics
- the geese of beverly road (live in rome) - the national lyrics