mwanza - rayvanny lyrics
vanny boy…. ehh vanny boy. ehe. they are not ready for this
[chorus] eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi
[verse 1] oya wind your waist njoo nipatie commando nikupe cha mkwesi kwa miuno ya taekwondo asa chekele mwendo wa kandanda ndani ya makwanda sa nisongeze leta msambwanda nikazie ngangangaaa (chiii!) kananivuta ghetto nkapinge bunduki (high bunduki) ile naogopa central michezo ya amber rutty (amber rutty)
[chorus] eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi
[verse 2] yaani kama mjaluo shepu ya mombasa hapendagi mpasuo hata akishinda basata tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro) kwa mateke mwite fally ipupa wa temeke (ndombolo) shaku shaku ya masai (oooh masai) kama kama nachuma papai (oooh papai) funika funua (twendee) bandika bandua (twendee) anika anua (twendee) kanipa chukua (twendee)
[chorus] eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi eeh nyege nyege kwetu mwanza nyegezi hmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi
oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki kwenye bilingiti ti huvunjaja na kiti (oya!)
oooh sa iweke ah iweke iweke… ah iweke ipitishe kwa chini ah iweke iweke… ah iweke miendo ya kazi kazini ah iweke iweke… ah iweke hii ile ndindindii ah iweke iweke… ah iweke ngoja shake it ivoo ah iweke iweke… ah iweke twende shaku kidogo ah iweke iweke… ah iweke chuma magimbimbi ah iweke iweke… ah iweke
Random Song Lyrics :
- llegaste tarde bebe - los del limit lyrics
- боимся говорить (boimsya govorit') - pacanskij suicide lyrics
- я все знал (i knew everything) - lovelybaby lyrics
- yugi moto - the coolest jose lyrics
- alone - charless lyrics
- unrequited love - hoarse lyrics
- tužne devojke - ničim izazvan lyrics
- tower of the middle of the month - 31 knots lyrics
- did i miss? - jmc lyrics
- smash - young zillion the rapper lyrics