lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mtoto - rayvanny lyrics

Loading...

ah, ua red manukato ya pombee
nitoe baridii, tushushie na monde
yakhabibi, kweli mungu hakosei
mtoto gaidi kanilegeza kushinee
aaiii wewe punguza kasi
ukisugua unacheza rafu utangoa nyasi
aiii wewe we punguza kasi
ukipanda juu unavyo rukaruka
kama farasi iii, nimekwama sijiwezi
nimezama kwenye dibwi la mapenzi
nimekwama sijiwezi
nimezama kwenye dibwi la mapenzi
ameniteaka

mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi)
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)
wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ayeyeee)
mtoto wa mama mkwe (aah)
mtoto wa mama mkwe

aaah, mama kazaa, ona mtoto kifaa
akicheka kama anakuita, ukimw*ngalia tu unajaa
aaa anajua kuvaa, akvua unamwaga chapa
mtoto rangi moja inang’a, usoni hadi chini kwenye paa
papa nguruuuu, ananuruu
akishika ikulu, natoa ushuru
natokajeee? hapa natokaje
geuka waonyeshe kwiyoo natokaje?
namwachaje? jamani namwachaje?
ona mtoto alivyochombo namwachaje?
ee nimekwama sijiwezi
nimezama, kwenye dibwi la mapenzi
nimekwama sijiwezi
nimezamaa kwenye dibwi la mapenzi
ameniteka
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi)
mtoto wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)
wa mama mkwe
mtoto wa mama mkwe (ayeyeee)
mtoto wa mama mkwe (aah)
mtoto wa mama mkwe

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...