i miss you - rayvanny lyrics
hivi bado una hasira
bado unanichukia
bado una kinyongo
moyo wako ulisha zira
bado unaninunia
hivi bado una usongo
kusema bora tuachane
ndo kauli inayoniuma kila nikik*mbuka
tusitafutane sikujua
narusha jiwe ndege ukapeperuka
tusijuane nlisema kwa hasira
leo ndo najuta usinitukane
namba yangu nyingine usije futa
sipendi tuchukiane
naugua kila nikik*mbuka zamani
sisemi turudiane najua kwako ni
ngumu haiwezekani…
ila i want to know
i miss you. (i miss you baby)
i miss you. (ahhhhhahh)
i miss you. (nakuk*mbuka weee)
i miss you. (i want to know)
i miss you. (nakuk*mbuka weee)
i miss you. (nakukubumka baby)
i miss you. (oooooo ioooo)
i miss you. (aiya yaaah)
aaaaaahhh. aaahhhhh… aaaahhhh
alisema sele gogo
penzi ni kama mmea
hauchepui muhogo
pale pasipo mbolea
vilikushinda vidogo
hata vya kunitetea
vikaondoka vifijo nderemo zikapotea
nia ya moyoni mw*ngu
wewe ulijaza miba
nikupe pole mwenzangu
pengo lako limezibwa
we endelea
na wafuga kucha akina
sidika na hudah
hiriki uzile
oohh ila tambua utamaliza
bucha twazidiana
ukubwa nyama ileile
sipendi tuchukiane
j*po najua mungu amenilinda na mengi
na sisemi turudiane
hilo tambua mie nilipovunja
sijengi na niliko salama
i miss you. (oohh yeeah)
i miss you. (we niache)
i miss you. (i’m doing just fine)
i miss you
i miss you. (i don’t miss you no no)
i miss you. (no no no no no no)
i miss you. (eehh eehh)
i miss you. (aaahhh aahh)
aaaaaahhh…
i’m doing just fine
wasafi
Random Song Lyrics :
- elää - mikko harju lyrics
- また イチから (mata ichi kara) - obp (jpn) lyrics
- ins0mnia 0_0 - sam9 lyrics
- baile da serra (prévia) - braãomc lyrics
- happy girl - poetic temper lyrics
- vamphure - billyboi jackson lyrics
- wanted - renzo sy lyrics
- forty - berna lyrics
- ayu - mavie lyrics
- un montón de estrellas - zantiago lyrics