![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
honey - rayvanny lyrics
honey love sweetheart teamo
my love, my baby, my everything
ananiamsha kwa mabusu mabusu
mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu
nyama ananipa biriani upaja wa kuku
jamaa mbuzi kaja zizini simba na zuchu
na wanune wanune wanune
na iwaume wakose cha kusema paka shume
najua inawachoma choma kushinda pini
wanatamani ndo w*ngekuwa mimi
unavyonipa joto centigrade tisini
aah raha
najichanganya hiliki na mdalasini
lowesha nguo nisiende kazini
nkichaf*ka nifute kwa ulimi
aaah raha raha
ooh oooh..oooh
honey love sweetheart teamo
my love, my baby, my everything
honey love sweetheart teamo
my love, my baby, my everything
yeah yeah yeah yeah…
yeah yeah yeah yeah…
mapenzi ni kama upepo
unavuma ukipepea mioyo yetu
umevumini kwetu vicheko
wameona ununa hizo sio shida zetu
na wanune, wanune wanune
na wanune hawakosi cha kusema paka shume
si umuache, wacha tukusaidie
so tukonaye, acha tukusaidie
mlisema wa nini, acha tukusaidie
acha tukusaidie
ukasema umemchoka, acha tukusaidie
leo macho yanakutoka, acha tukusaidie
mnanuna nini wewe, acha tukusaidie
oooh, oooh, oooh…
honey love sweetheart teamo
my love, my baby, my everything
honey love sweetheart teamo
my love, my baby, my everything
Random Song Lyrics :
- benção de maré - banda semba lyrics
- immortal - leagues of shadows lyrics
- mlem - ian vandiver lyrics
- never learn - good boy daisy lyrics
- #1 - sunny malouf lyrics
- sembra facile - mikro lyrics
- thinking about thinking - think'd lyrics
- candy from a stranger - myah marie lyrics
- english game - honey pine dresser lyrics
- super novae - nicos lyrics