lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bonnie & clyde - rayvanny lyrics

Loading...

sound boy
girl, you’re the one in a trillion
my princess
i swear i’m gonna marry you
god’s my witness
unanijulia on my weakness
girl, you got eight*figure natural
you don’t need fitness
iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha
moyoni niliumia nikajua sitoweza tena kukupata
k*mbe hukuwa na upendo bandia
moyo w*ngu bado ukauk*mbata
nikisema nakupenda nawe nipenda pia
tuvae sare*sare yani kama mapacha
we’re bonnie & cyde, aaah!
girl we meant to be, aaah!
we’re bonnie & cyde, aaah!
forever you and me, aaah!
tunza heshima kwa baba na mama
walio kuzaa mwana
natuombe mungu hatuvushe ujana
kwenyе vita sana
mti wenye matunda una andamwa
acha wanao tukana
tabasamu lako basi linawachoma jamaa
na watakerеka sana
kwenye baridi, uwekoti
kwenye mvua, mwamvuli
wanifariji sichoki
kwenye jua kinvuli, yeah! yeah! yeah yeah!
iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha
moyoni niliumia nikajua sitoweza tena kukupata
k*mbe hukuwa na upendo bandia
moyo w*ngu bado ukauk*mbata
nikisema nakupenda nawe nipende pia
tuvae sare*sare yani kama mapacha
we are
we’re bonnie & cyde (woo*woo), aaah!
(girl with me)
girl we meant to be, aaah!
weee
we’re bonnie & cyde, aaah! (my princess)
forever you and me, (forever you and) aaah!
meee*me*me*me…
i love you

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...