rap codes (feat. geez mabovu & tytah) [prod. by lusungu & gerady] - rasco j lyrics
[intro; geez mabovu]
hahahahah
yeah, rap codes
this is rap codes yoh
“bantu music”
[verse 1: rasco j]
naweka pozi kila nukta,dozi ya makofi magooo hawataki kufa/
wanajuta niko sharp navyorap kila style, nina file kwenye kichwa sound kwenye speaker/
nasikika navyoandika sina demo kwenye fikra/
toa misemo nipe neno lenye uhai sikudai piga ngeta kitaani uzikwe hai/
sikufai penda rap dont stop the music, j-po haiuzi/
bora niwe solo nyuma dolo makolo siwapi new sh-t/
rudi bushi kama una vyeti vya kugushi, na uzushi wa kila siku/
bora chai juu ya meza na mkate wa kila siku/
legeza ukweli haujafeli tema uongo, wabongo ladha kapuni wanabuni bila usongo/
tema nyongo kwenye map woraap hii ni rapsh-t/
[chorous: tytah]
mi mzalendo namba moja siyo ronaldo mi ni chujiii/
siyo lil wyne mi ni fid / lalaa laaaaaaa
mtaenda mtarudi mtanikuta nimechil iringa town is ma hood/
siyo ronaldo mi ni chujiii,siyo lil wyne mi ni fid / lalaa laaaaaaa
mtaenda mtarudi mtanikuta nimechil iringa town is ma hood/
n-z-vunja rapcodes master mi ni boss, wee nidiss itakucost/
mi ni mrefu kama croach nipe cross, dakika moja kwenye cypher utajua who the best/ haaa haaaa
n-z-vunja rapcodes master mi ni boss, wee nidiss itakucost/
mi ni mrefu kama croach nipe cross, dakika moja kwenye cypher utajua who the best/ haaa haaaa
[verse 2: geez mabovu]
kweli mungu anampenda mja wake/
binadamu majungu wanapenda mtu ufe/
najisikia uchungu nikik-mbuka enzi ile/
ilibaki kidogo duniani niwe msukule/
navyoishi sasa siyo kama enzi zile/
duniani wagwagu kweli mungu ashukuliwe/
kukosa ukose wewe nani alaumiwe/
mwenye haki yake apewe wala asidhurumiwe/
fanya fasta usichelewe kabla haujahuk-miwa/
chapchap fasta rasta ogopa usichukuliwe/
fanya hivyo kwenye maisha ndugu chunga usikwaliwe/
hahahaha, mabovu, dirty south,…..
[chorous: tytah]
mi mzalendo namba moja siyo ronaldo mi ni chujiii/
siyo lil wyne mi ni fid / lalaa laaaaaaa
mtaenda mtarudi mtanikuta nimechil iringa town is ma hood/
siyo ronaldo mi ni chujiii,siyo lil wyne mi ni fid / lalaa laaaaaaa
mtaenda mtarudi mtanikuta nimechil iringa town is ma hood/
n-z-vunja rapcodes master mi ni boss, wee nidiss itakucost/
mi ni mrefu kama croach nipe cross, dakika moja kwenye cypher utajua who the best/ haaa haaaa
n-z-vunja rapcodes master mi ni boss, wee nidiss itakucost/
mi ni mrefu kama croach nipe cross, dakika moja kwenye cypher utajua who the best/ haaa haaaa
[autro; geez mabov]
yeah this is how we do yoh
this is how we bang yoh
this is rapcode haaaa haaaa
yeah, rasco j, mabovu for real yoh
this is dirty south dawgy for real yoh
haaaa haaaa, bantu music, “lusungu on the beat”
Random Song Lyrics :
- metro - naoui lyrics
- las floreras del boqueron (en vivo) - pancho lara lyrics
- lo2hi - thals lyrics
- in mezzo alla via - real talk lyrics
- это трэп (this trap) - sentyabov.mp3 lyrics
- what a way to go (cospe remix) - particle house lyrics
- error favorito - diamante eléctrico lyrics
- claudia - pilate's dream lyrics
- fotográfica - silabario lyrics
- mindful - me umbra lyrics