lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kundei gang_asma - rapper lyrics

Loading...

artist:kundei gang
song:asma
producer:the swager

intro
aah the swager

chorus:
asma ana bwana kaniacha mi ndio kwaheri asma anaringa kimapenzi mi nishafeli asma anavimba siku hizi yupo kwa ray sa’ sina pesa nitampa nini ye tapeli

bridge:
yah! yah! kutoka best player hiyo sub sio fair
yamenifika hapa samaki naongea

verse:
sa’ mbona umeniacha asma hoiii
kisa sina pesa shikamoo noti
life la beach boy donay msosi huh!
vumilia mama n’tatokwa mikosi
yeah basi we
nenda mama nimeshindwa mie
mi’ so baba’ko kila kitu nikuhudumie
mapenzi ya zamani yako wapi
sina pesa hata gheto kasachi
naona unafanya mtaji
ushanunua viwanja vingapi

chorus:
asma ana bwana kaniacha mi ndio kwaheri asma anaringa kimapenzi mi nishafeli asma anavimba siku hizi yupo kwa ray sa’ sina pesa nitampa nini ye tapeli

bridge:
yah! yah! kutoka best player hiyo sub sio fair
yamenifika hapa samaki naongea

verse2:
we’ asma usinione crazy crazy nisijali langu tumbo nihonge kisa mapenzi
nikiwa nacho usijali mambo yasiwe mengi tutakula, tutakunywa rest moment (ooouh)
visa unafanya nidate (date)
mapenzi ya kweli nna moyo wa kike (kike)
tatizo nini sina mawe n’banduke
kuliacha penzi lako bora n’sepe kwa duke

chorus:
asma ana bwana kaniacha mi ndio kwaheri asma anaringa kimapenzi mi nishafeli asma anavimba siku hizi yupo kwa ray sa’ sina pesa nitampa nini ye tapeli

bridge:
yah! yah! kutoka best player hiyo sub sio fair
yamenifika hapa samaki naongea

melody (final bridge):
mi mwenyewe naitamani halafu nikuhonge gari yeaaaah
usinione punguwani mi nna akili kichwani yeaaaaah
mw-nga w-ngu hauonekani umeniacha gizani yeeeeah
ulisema utanipenda utadumu na zote hali yeaaaaah (yah yah)

chorus:
asma ana bwana kaniacha mi ndio kwaheri asma anaringa kimapenzi mi nishafeli asma anavimba siku hizi yupo kwa ray sa’ sina pesa nitampa nini ye tapeli

thank you so much for view

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...