graveyard - raph is rough lyrics
[intro]
we outside. hatuwezi rudi ndani
and we never lied. hio tuliwachia shetani
we go back inside. playground ikona wakali
and we never died
[hook]
graveyard. tuone kama nilidedi
huku time bad. nibongee aje weekendi
hawakuinvite. juu hadi hawanipendi
niko inside. naona niweke hadi dredi
nilihepa. juu nilidhani nitadedi
huku ni kubad. hakuna hadi weekendi
nilitolewa. juu sikuleta wageni
niko outside. kila mtu akona deni
[verse]
even in the mbogi man
never wanted me around
sina hizo jibu man. nilijipata solo man
man*ggas wako drugs
labda niwajoin
umecheki bеnefits hao man*gga wanaenjoy
graveyard chеck beberu ako alive
superhero things avengers waliretire
even in the mbogi man
we lost one of many men
but he never gave a f*ck
we never talked about it then
[hook]
graveyard. tuone kama nilidedi
huku time bad. nibongee aje weekendi
hawakuinvite. juu hadi hawanipendi
niko inside. naona niweke hadi dredi
nilihepa. juu nilidhani nitadedi
huku ni kubad. hakuna hadi weekendi
nilitolewa. juu sikuleta wageni
niko outside. kila mtu akona deni
[verse2]
kila time nikidai kufanya that. na do this
alidai kunidingo ndani ya mat. nika do this
huyo alitaka nifanye mashash, haja quit
alisema nikifanya mojaaa nitahit
kama bado hujani somaa sitarisk
siezi anza tu ku chomaa ndani ya biz
kesho nikupata tu madollar, benjamin
alisema nikifanya mojaaa nitahit
[bridge]
we outside. hatuwezi rudi ndani
and we never lied. hiyo tuliachia shetani
we go back inside. playground ikona wakali
and we never died
[hook]
graveyard. tuone kama nilidedi
huku time bad. nibongee aje weekendi
hawakuinvite. juu hadi hawanipendi
niko inside. naona niweke hadi dredi
nilihepa. juu nilidhani nitadedi
huku ni kubad. hakuna hadi weekendi
nilitolewa. juu sikuleta wageni
niko outside. kila mtu akona deni
Random Song Lyrics :
- sharp diamonds - michael nau lyrics
- faced with a choice - abstain lyrics
- d&d pt 3 - oy dann lyrics
- ayyayyo - parimal shais lyrics
- numb - allkill1t lyrics
- set fazers - skindred lyrics
- 장마 (rainy season) - whee in lyrics
- jet - squeaky galactic & alvindarappa lyrics
- circle - agoreagore lyrics
- joker smile - tj_beastboy lyrics