twofivevibes freestyle 4 - rapcha lyrics
speaking of me nshakataa kuwa normal
kabla hujamiliki gari jua kuendesha akili na mdomo
so wakileta ujuaji tunawalia michuno
afu kinachofata ni mikuno ka fernandez bruno! nyie
am cool thou naish kigangster kiaina
leave your skin black honey f*ck china
shida utaishi nazo ila zinakera kiukweli
ni kama umechora tatoo afu ukakosea spellings
peace in ma heart thou sina dreadlocks
yo giftedson mwambie moni centralzone ani unblock
moyo w*ngu unahitaji padlock
imagine napata nguvu ya k*mzimia shadee miss rocks..
social media zinalevya kama drugs yes
bongo tunajua vizuri kusifia na ku*underrate
wanaomdiss darassa hawamjui vizuri hata jina, wakiliiandika hawaeki double ss.. yes
ntavuja jasho mpaka nakamua
suger mammy wakunifuga mimi apite kwanza chuo cha sua
age yangu 21 na nna big dreams
mastar wa kike wengi nishapita nao kwenye wet dreams
so here is the last king of 90’s nshatimba town
i’m doing my own things n0body can take me down
akuna m*f* anaeza kupita in my zone
uchezee ma kung fu taekwondo be careful
slow slow napenetrate na score
mchezo huu ni soo, so natake control yeah man
slayqueen akileta nyodo afu kashakula mtonyo mpakie mkongo deal done
rappers sound s*xy like chioma en i’m davido
utakula makofi tuliza izo pupa bwana fally yo
meza bars ukashinde bucket kwenye karaoke
verse zigi nnaimix na beat sigara kali io
kidogo basi tuk*mbushane
tunapokuja dar mkoani basi tuk*mbukane
sio wivu ila naomba tu tuelewane
haukatazwi kula raha chunga tu tusikanyagane tuheshimiane
najua why people sniff
why zipo beef
why vyeo vina nguvu zaidi ustaa mbona mambo tifu
zote ni njaa tu ukikua ndo utaelewa
kuna tofauti ya kuskiliza na kusubiri kuongea
sifa zisijuendeshe kijinga
kuwa peace haimaanishi uwe mnyonge yani kataa kugombana kijinga
mchizi mwenye sifa akiona bebes
kiukweli anakera kama mtu akileta userious kwenye memes
kila mmoja atambe zake ,inachekesha
kunilinganisha mi na flani apo utakesha
sie wengine tumepinda sio kitoto
wanaopaishwa mie ngoma zao naeza andika kwa mkono wa kushoto
made in east africa
i got some fans in africa
mtoto wa street now i’m tryna make some racks in africa
shytown on my back coz i’m always black
i pull up will with the same dudes
alfa en omega tokea machaka
pay some money en pay some respect
uwezo fresh from god that means hakuna wa kuniunderrate
wala kuni irritate tukiwa tunameditate na wanangu chapa 99 best of the best
written by rapcha
Random Song Lyrics :
- les fantômes des femmes - la femme lyrics
- make it stick - jay splitz, frettz, underdog unlimited lyrics
- snark vs dr breen epic rap battles of half life - richter overtime lyrics
- look at wrist (trapmoneybenny remix) - father lyrics
- где ты (where are you) - нюдс бой (nudes boy) lyrics
- kung liligaya ka - bernie gala lyrics
- don't play - jungle lyrics
- fooling myself - runner (uk) lyrics
- mio - jurp lyrics
- vanessa - twinn flvme lyrics