nitakucheki - rapcha lyrics
rapcha
international waoneshe
verse 1
kama umenikosha hivi
siwezagi kuzama simple
usione umenishika akili
usije ukajidanganya hivyo
bridge
aaaaaahhh (babe wee tulizana tu)
aaaaaah ( ila umenichang*ya mno )
aaaaaah ( basi we tulizana tu )
aaaaaah (si tunaeza bonga baadae!?)
chorus
ntakucheki….(ntakupigia) ama utanicheki
will you check on me!!
ntakucheki… (ntakupigia) ama utanicheck
w*lly you check on me!!
coz i know good girls love bad boys
i know good girls love bad boys
najua good girls love bad boys
i know good girls love bad boys
verse 2
na huo uzuri ulionao afu naskia hii dunia tunapita
sasa unabana ya nini
secretary mzuri ukicheki muda saa sita
usishangae k*muona boss kazini
najua kukung’oa sio easy! no!
ila ukinitema itanikata ka kahaba akiwa period
kuvimba, kunata sio password
hata uniangalie vibaya leo ntakusemesha tu
basi navyokuchеki una mute
nahisi ka umenipenda pia ka moyo puh puh
yani hauna brеak mbio tu
sio siri umenichanganya ka milango ya push and pull
aaaaaahhh (babe wee tulizana tu…..)
aaaaaah ( ila umenichang*ya mno )
aaaaaah ( basi we tulizana tu )
aaaaaah (si tunaeza bonga baadae )
ntakucheki….(ntakupigia) ama utanicheki
will you check on me!!
ntakucheki… (ntakupigia) ama utanicheck
w*lly you check on me!!
coz i know good girls love bad boys
i know good girls love bad boys
najua good girls love bad boys
i know good girls love bad boys
my love ooh my love
i go mad for your love babygirl
my love ooh my love
i go mad for your love babygirl
Random Song Lyrics :
- noktah epilog cinta - forteen lyrics
- ardently - amanda fagan lyrics
- rose blossom (chinese version) (楼宇间盛放的玫瑰) - h1-key lyrics
- alluvione - fiore akamono lyrics
- дисс feofilov - sandalov lyrics
- downtown - elio toffana lyrics
- cliente - amen (per) lyrics
- porque ya no me vas a querer - amaury pérez lyrics
- don't cry for me - out after winter lyrics
- фит за 300 - b9rka lyrics