mi na we (reply to frida amani) - rapcha lyrics
nimekusearch wikipedia
baada ya kukuapproach on air kwenye media na wakanijibu like this
bwana mdogo chill
ni ngumu kuwa na dem kama frida
hapo hatuna cha kukusave bounce please
basi nikaona ncheki plan b
labda ungepata ka wivu ile kuskia mi nnamdate bey t
sa ulivyo noma nikajishaua kukutumia clip
ilinichoma hata blue tick sikuziona
likanishuka nkawaza kwa kina
njia pekee ya kukupa wivu labda uskie mi nadate na meena ally
ila meena kwao dini sana
naweza mwomba hata french kiss akanambia sheikh kakataza bana!
fifi unavontesa we hujui tu
mapenzi yananipa stress mpaka nashindwa kuoga sio kula na kulala tu
nahitaji we uwe w-ngu tu
baby girl u got me and i can do any thing that you want me to
en by the way who is giftedson to you
maana kila nkikutaja kwenye story huwa ananlia buyu
mna ukaribu unaonikata stimu
nieke dp afu mlambe block one week apate wazimu
tuachane na hayo juzi nlik-miss msupa
nkapita ofisini bahat mbaya sikukuta
si najua unapenda msosi nkakuletea chips kuku haukuikuta!?
itakua grayson gideon ndo alivifuta
pengine unaeza niona dogo tu
but lemme tell you that i’m old enough to smash you boo
naomba usikilize hii verse ukiwa chumbani pekeyako
kutype inachosha nijibu kwa voice note tu!
sa hii ni mi na we
my boo, your bae
hata tukitoka dinner bill on me na we
tukikinusha ugomvi club mbio mi na we
now best young rappers kwenye game ni me na we!
Random Song Lyrics :
- low - lucy camp lyrics
- your song - chase lyrics
- find a way - feels lyrics
- that's the reason why i love - stacy lattisaw lyrics
- just the way you are - ali brustofski lyrics
- 404 - matt citron lyrics
- takes gold - silo crow lyrics
- selfish - jack harlow lyrics
- eddie kane (og version) - schoolboy q lyrics
- dommage - 7ari lyrics