lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hello - rapcha lyrics

Loading...

gachi waoneshe

[verse 1]

na ndo maana sikai online these days

ama nin*z*ma phone

maana nna madeni nyomi kila sehemu watu wananipigia phone

na wanarusha text everytime mi nachuna kama sioni

napoiwasha inaita anytime

okay who is calling now?

gachi b

h*llo

yani umeniwahi tu mchizi

afu nilipanga nikucheki saa hizi

si unajua tena haya mambo ya ubusy
unaeza nipa ka dakika moja please

oyaaa mzee mbona sikusomi

hivi simu zangu ina maana huzioni

nimekutimbia kwenu mpaka maghettoni

vipi lile deni langu si ulisema utanigea siku za usoni

[chorus]

wait please, (h*llo)

sijakusoma mchizi (h*llo)

nitumie message please (h*llo)

apa mbona ka sikusikii?? (h*llo, h*llo)

wait pleasе (h*llo)

network mbovu siskii (h*llo)

kata upigе tena please (h*llo)
ngoja mbona ka sikuskiii (h*llo h*llo)

[verse 2]

na ndio maana sikai online these days

ama nin*z*ma phone

maana nna mademu nyomi kila sehemu

wote wananicheki kwenye phone

na wanarusha text everytime mi nachuna kama sioni

nikiiwasha inaita anytime

huyu ananicheki right now

h*llo

babe

nilikua na isssues tu na

hajui tu vile nak*miss tu mamaa
basi tu umewahi kunicheki ila

unaeza nipa ka dakika moja please

no no babe

mi nishachoka sound zako

siku zinapita sijaona simu yako

afu kuna ishu nahitaji tuongee

kuna dada amenicheki kaniambia eti ni mpenzi wako

chorus

wait please, (h*llo)

sijakusoma i think (h*llo)

nitumie message please (h*llo)

apa mbona ka sikusikii?? (h*llo, h*llo)

wait please (h*llo)

network mbovu siskii (h*llo)

kata upige tena please (h*llo)

ngoja mbona ka sikuskiii (h*llo h*llo)

h*llo

h*llo

h*llo

h*llo h*llo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...