usihofie wachaga - rama dee lyrics
[intro]
sioni
hatari mbele ya penzi letu
(ooh, ooh)
(and the*)
[verse 1]
pendo letu
lifike mbali
ooh, baby
tulinde love
(kupendana)
waepuke mashosti wote
wasio na maana
[verse 2]
hapa duniani
wabaya wamezidi nguvu wazuri, mpenzi
(mpenzi)
hata manabii
walipigwa mawe usoni
moyoni haikuathiri
(penzi)
[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw*nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga,’wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
[pre*chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
(na*na*na*na, na*na*na*na)
maudhi yasitupitie
furaha kubwa ituingie
(na*na*na*na, na*na*na*na)
[bridge]
mwana mosi, eh
mwana mosi
mwana mosi, eh
mwana mosi
[verse 3]
nisimulie
hadithi nzuri zenye muendelezo
za mahaba
nifarijike
nik*mbatie
ukihisi msongo wa mawazo
nitakushusha presha iwe normal
[verse 4]
kwani, kuelewana
kushikamana
kuridhiana
ndio nguzo imara
tuеpushe utata
nasi tufike tommorow
hivyo ndivyo love
usionе watu wakiishi kwa furaha
wamefungua kurasa
(baby)
[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw*nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, ‘wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
[pre*chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
na*na*na*na (pendo letu)
na*na*na*na (oh, love)
maudhi yasitupitie (mimi nawe)
furaha kubwa ituingie
na*na*na*na (?)
na*na*na*na
(baraka na*)
hatari, mola atuepue
(penzi letu)
baraka, mola atushushie
(heri yetu, hey…)
na*na*na*na
na*na*na*na
(na baraka)
maudhi yasitupitie
(kwenye nuru yetu)
furaha kubwa ituingie
(heri yetu, baby)
na*na*na*na
(ooh)
na*na*na*na
(nah…)
[outro]
usihofie colour, ‘gizani, mw*nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- me enamore de ti - remmy valenzuela lyrics
- lisa (never easty on my nextel) - felt lyrics
- for once - dre willixms lyrics
- evolution - dj revolution lyrics
- high pressure - jimmy p. (rapper) lyrics
- afterthought - slum sociable lyrics
- stone to sand - cahalen morrison & eli west lyrics
- llegara el dia - sínkope lyrics
- на берегу реки (on the riverside) - alai oli lyrics
- come to far - trina lyrics