kipenda roho - rama dee lyrics
Loading...
mw-nga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu
chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu
kwenye mvua metope si ndumba oh
yasikufanye uchoke mchumba oh
wanapanga maneno kama chati za k-mi bora
kuumpima upendo ni hatari
mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu
nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu
tulishinde lengo lao lao
lengo lao lao lisitimie…
v-rs- 2
ukitazama marengo haukosei, haupotei kwenye love
wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri
mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe
angalau tone moja liende k-mimina penzi sitarajii
for the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu
your my (ngo)
tusimame babe
Random Song Lyrics :
- rock x roll - boondawg & yun mufasa lyrics
- homiez - tricky mac, benny t & daddy k lyrics
- connected - bang chan lyrics
- edb - jéthro jnm lyrics
- large freestyle - road clay lyrics
- the shape of nothing - slow buildings lyrics
- gone - noa kirel - נועה קירל lyrics
- together - afrolegacy lyrics
- 2019 - why2k lyrics
- alexa - manu meta lyrics