kama hauwezi - rama dee lyrics
[verse 1: lady jaydee]
vipi mpenzi, huoni mbali?
kweli huwezi kwenda mbali, na mie
(na mie)
kweli mengi huletwa ndani
si halali kuyapokea yote, unitupie
tutagombana, ‘kila siku mpenzi
tutaudhiana, ‘kila siku ndani
tutatishiana, kugawana mali
bila k*mjua mchawi wetu nani
[chorus: lady jaydee & rama dee]
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
[verse 2: rama dee]
hizi lawama ziishie leo, leo
isifikie wakwe wanivue vyeo
kwa gubu lako tu, mami
lawama zako zisinitie uchizi
nibadili mipango yetu mingi
hatutogombana, tukifata yetu
tutaheshimiana, tukipanga yetu
hatutofikia, tugawane mali
mimi nawe (nawe)
ona…
[post*chorus: rama dee]
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
[hook 1: lady jaydee]
tutagombana, ‘kila siku mpenzi
tutaudhiana, ‘kila siku ndani
tutatishiana, kugawana mali
bila k*mjua mchawi wetu nani
[hook 2: rama dee]
hatutogombana, tukifata yetu
tutaheshimiana, tukipanga yetu
hatutofikia, tugawane mali
mimi nawe (nawe)
ona…
[chorus: lady jaydee & rama dee]
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
[outro: rama dee]
kama huwezi
(eh, eh)
kuwa mkweli
(eh, eh)
ona…
kamwe mpenzi mbele ‘hatutofika mama
kama pesa, ‘zipo za kututosha, ma
Random Song Lyrics :
- problemas - pta lyrics
- zwischen himmel und hölle - daniela alfinito lyrics
- really, you busy? okay! - shane kushmo lyrics
- but it won't stop - neck (2) lyrics
- shoot! - yung nodjok lyrics
- awful jeans - wonk unit lyrics
- everyday - bonzo (leuven) lyrics
- hmm hmm - sor (nld) lyrics
- down 2 ride - glynzell lyrics
- de$igner - a.j. sandlin lyrics