lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hali ile - rama dee lyrics

Loading...

[intro]
heya
hewena, heyawe
heya
hewena, heyawe
hali ile

[verse 1]
kwa hili unastahili
penzi langu kati ya hao
umeniona zaidi
ninalo tumaini, kuwa huru kw*ngu
tusimame zaidi (tusimame zaidi)

[pre*chorus]
kwa hiyo juu
penzi liende juu (juu)
kwa hiyo juu
penzi liende juu (juu)

[chorus]
tushukuru tumepita
(kwenye hali ile)
oh, no
(kwenye hali ile)
(kwenye hali ile)
hatakama tukiyumba
(kwenye hali ile)
sweet [?]
(kwenye hali ile)
oh, oh
[verse 2]
jeuri hauna
wala haunipi mawazo hakika
kiburi hauna
laazizi nitunzie ya ndani
we kw*ngu mfamasia mkuu
kw*ngu hupazi sauti ya juu
cha upole

[pre*chorus]
kwa hiyo juu
penzi liende juu (juu)
kwa hiyo juu
penzi liende juu (juu)

[chorus]
tushukuru tumepita
(kwenye hali ile)
oh, no
(kwenye hali ile)
(kwenye hali ile)
hatakama tukiyumba
(kwenye hali ile)
sweet [?]
(kwenye hali ile)
oh, oh

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...