![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
furaha yetu - rama dee lyrics
(instrumentals)
[intro]
mmm,mm
mmm
[?]
mmm
[verse 1]
furaha yako weh
furaha yangu moyoni
furaha yako weh
tabasamu usoni
epuka mashari, na ‘be happy, kipenzi
hii ndio love, tu*enjoy, hey
ukichoka hapa, twende mbali kwa safari
ma holiday ilete kwetu ma smile
[pre*chorus]
tabasamu, weh, eh*eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh*eh
thamani yako ni taa
oh, ooh
[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[verse 2]
ka una muda leo tufurahi
amini, zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life
[bridge]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]
[pre*chorus]
tabasamu, weh, eh*eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh*eh
thamani yako ni taa
oh, ooh
[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[outro]
zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life
Random Song Lyrics :
- to die alone - the bush [garage band] lyrics
- i’ve been waiting (demo) - lil peep & ilovemakonnen lyrics
- amarte duele - neztor mvl lyrics
- i'm sorry - becca mancari lyrics
- moshen - zensery lyrics
- diss in blanco - agent kuper lyrics
- triste y antigua dama - pastoral lyrics
- self-minded - flexxboychris lyrics
- baptism by fire - colby ferrin lyrics
- social misstancing - ro lyrics