lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tema - rajville lyrics

Loading...

unajua mimi napenda nkikuona
baby
kila siku mimi nkikuona napona
yeah uh
huwa sinanga hata lugha
huwa sikuli hata ugali
you are the one baby oh darling
darling
huwa sinanga hata lugha
huwa sikuli hata ugali
you are the one baby oh darling
baby
hook

sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
banana..

verse 2
sipendi kuku try , zii
napenda ukifurahi
napenda ukiwa fly
kwenye sky
naeza roll dice, vile umenice, wallahi
queen, we ni malkia
only one when i see when im out here
go down on you whеn im up here
mwenyе anani try anadhania, mmh
kanyeka, kanyeka
ona zile vitu tunafanya fanyika
me nataka kuku baby areka
ngocha baby si utanipa?
utanipa, utanipa
kaa ni uber nitalipa
utanipa, utanipa
kaa ni uber utalipa

hook

sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
banana
bridge

sipendi kogotema
napenda ukitenga
when i see you
i just wanna see you dance for me
baby
when i see you
i just wanna see you dance for m
dance for me baby
dance for me

hook

sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
sipendi kogotema
napenda kukupenda
sipendi kogotema
napenda ukitenga
banana

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...