nataka nikuwache - rajville lyrics
wacha
banana
banana boy
swear to god baby girl si unaniboo
unaniboo
kama tu ni pesa si unanishow
si unanishow
sipendi mikosi
sipendi vikosi
mimi sipendi mikosi
na sipendi vikosi
unanifanya fala
mbele ya rafiki zangu baby
naona true colors
kila ukikuja kw*ngu baby
me nataka niku wache wache
wache (genda)
me nataka niku wache wache
baby (genda)
me nataka niku wache wache
wache (genda)
me nataka niku wache wache
wache (genda)
unanionaje ?
kwani mpumbavu
unanionaje ?
kwani sina nguvu
sipendi madharau , no no no
afadhali unisahau , yea yeah yeah
me nataka niku wache wache
wache (genda)
me nataka niku wache wache
baby (gеnda)
me nataka niku wache wache
wachе (genda)
me nataka niku wache wache
wache (genda)
i dont wanna hear you say sorry (sorry)
i dont wanna hear you say so
i dont wanna hear you say sorry (sorry)
i dont wanna hear you say so
i just wanna leave you right now
i dont really care mh
i dont wanna leave you right now
this is just a phase baby
me nataka niku wache wache
wache (genda)
me nataka niku wache wache
baby (genda)
me nataka niku wache wache
wache (genda)
me nataka niku wache wache
wache (genda)
Random Song Lyrics :
- castle halls - deine galaxy lyrics
- always be kidding - the intelligence lyrics
- arms out' - the kid landin. lyrics
- beast mode - xxxrays lyrics
- сбежать (run away) - tiptorr lyrics
- under naked golden branches - sham (band) lyrics
- the sea - jj grey & mofro lyrics
- home tonight - wilsn (deu) lyrics
- akana - bittner & rava lyrics
- ich - kleinstadt lyrics