mwana - rajville lyrics
moyo , moyo
moyo wako, laini baby yeah
i know , i know
you remind me of mimi baby yeah
kasura tam’
kama biriani
me nina ham’
baby gimme honey
kasura tam’
kama biriani
me nina ham’
baby gimme honey
usitie shaka usinune
mimi nakutaka in a moment
usitie shaka, nakutaka ooh
mmh
aye ne enchoke, mwana
kuja unipe, nidunge
aye ne enchoke, omwana
kuja udunge, unipe
aye ne enchoke, mwana
kuja unipe, nidunge
aye ne enchoke, omwana
kuja udunge, unipe
tulipatana jana
nahisi ni miaka mi k*mi
ukasema ni sinywe mitungi
penye moshi unalеtanga kuni
mbio zangu ni za kobe
sumu yangu ni ya cobra
mchezo zako ni za pogba
theory zako pythagoras
kuja kw*ngu niokotе
twende church tuokoke
tusake pesa tuomoke
tutoke kenya tuondoke
kuja kw*ngu niokote
twende church tuokoke
tusake pesa tuomoke
tutoke kenya tuondoke
tuondoke ah
usitie shaka usinune
mimi nakutaka in a moment
usitie shaka nakutaka ooh
mmh
aye ne enchoke, mwana
kuja unipe, nidunge
aye ne enchoke, omwana
kuja udunge, unipe
aye ne enchoke, mwana
kuja unipe, nidunge
aye ne enchoke, omwana
kuja udunge, unipe
aye ne omwana , enchoke ooh
omwana one enchoke ohh
mmmh
Random Song Lyrics :
- neo soul - cyazon & essenger lyrics
- angstiety - the gvllows lyrics
- self-care - anomalyisreal lyrics
- stop 'n' go - yung loki lyrics
- silhouettes - before sleep falls lyrics
- quelques gouttes - aladin 135 lyrics
- mic el jahxsun - cambatta lyrics
- מדינה של חצילים - adirelad inc lyrics
- our planet is on fire - tay lyrics
- pago pra ver - péricles lyrics