lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mombasa - rajville lyrics

Loading...

mombasa lyrics

intro

banana boy
banana
banana boy

verse 1
katoto kwao, ni bamburi
napenda vile anapenda zangu santuri
anapenda sana tu upishi maankuli
tukipatana tu ni jamboree
baby girl omo, what d’you want ?
kama ni kwa roho we ndo, number one
tell me if you comfortable , we can run
to a different place kama unataka fun
call up your friends na me nitafanya same
kama tu ni chance nimekupa evidence
everyday nitaspend
on you girl you can dance
if you really wan do it
kisii flow you can put a spin to it

pre *hook
me nataka kuku checki , mombasa
nataka pia kufika city ya, mombasa
nile viazi karai vya , mombasa
nitakuja kuku checki, mombasa

hook

katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa
katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa

hupendi long, distance
tukibonga simu hadi saa, tisa
face time tingz ukitoa, t shirt
unauliza siku tutakuwa , official
aisha, penzi hutisha
kwa wengine checki patience huisha
si una chali kama thao wanabisha
pon your heart, but you never really answer
unapenda kijana wa bara
na wazazi husema me balaa
me nasaka maziwa ilara
nitapata naomba, inshallah
pre * hook

me nataka kuku visit, mombasa
nataka pia kufika city ya, mombasa
nile viazi karai vya , mombasa
nitakuja kuku checki, mombasa

hook

katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa
katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa

katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa
katoto ni ka pwani, mombasa
mombasa, mombasa
mombasa

outro

katoto ni ka pwani
mombasa
(nitafika ukitaka)
mombasa, mombasa
(nitacome me kulala)
mombasa
katoto ni ka pwani
mombasa
(nita come ukitaka)
mombasa, mombasa
mombasa, mombasa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...