lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

halua - raj (kenya) lyrics

Loading...

verse 1

aye
halua
penzi tamu baby si unajua
amua
ambia ma’ ni me unatambua
mmh and i
i’m really tryna get a billy, baby
but why
unanifanya mimi niwe silly
aye
siwezi, siwezi
kukuacha mimi siwezi
super sweet, super sweet
kwako wewe siko sugar free
siwezi, siwezi
kukuacha mimi siwezi
super sweet, super sweet
kwako wewe siko sugar free

hook

halua
penzi tamu baby si unajua
amua
ambia ma’ ni me unatambua

halua
penzi tamu baby si unajua
amua
ambia pa’ ni me unatambua

hook

verse 2

nasema facts
come baby come kula racks
come to my crib ku relax
wanadai ati you my next
ey, oya guess (ey)
no’omanyete naye you the best (ey)
ey, na kaa ni kiss
send me through the phone ukini miss
top one n-gga on your list
pale bed banana beast
serve you with a banana dish
you found love ka rihanna mammi
hate bana ‘kapish!’
you been vybin na hii
kids waniite daddy
come sema na me
baby

hook

halua
penzi tamu baby si unajua
amua
ambia ma’ ni me unatambua

halua
penzi tamu baby si unajua
amua
ambia pa’ ni me unatambua

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...