
chance - raj (kenya) lyrics
raj – chance ft lil sliq, faithstan
verse 1
nche no’omosacha
young king baby im a rasta
came from a village im the typer
give you the d, i get laid like pipe
and your type, ndizi iko ripe
kama una psyche
we can even take a trip to dubai
i’m that guy kwenye sky, fly
ukiroll dice i can play with your -ss really nice
i’m that n-gga, its for realer
girls wanna play with the kiddo
i don’t want a n-gga in the middle
refrain
kama unanitaka, call me maybe
kama unanipenda, basi nionyeshe
hook
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
verse 2
nipe chance..
yo
nipee chance nistick kwako kama tatoo
nirock bed yako daily yababadabadoo..
nistick kwako kama chokosh na glue..
hizi si pick up line hivi ndio mimi nafeel..
ah
nataka nikupe jinangu ya pili
hata wakiniita nameless watajua we ni wahu (wa who?)
w-ngu tu, na nitaringa tu
put a ring on it i wanna marry you
nikupeleke ocha ujuwe wakina mother
naona ukinizika ju walai ushani murder..
design naropoka manze nika siko rada…
raada na ropoka maze siko rada..
refrain
kama unanitaka, call me maybe
kama unanipenda, basi nionyeshe
hook
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
bridge
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali baby noo !
refrain
kama unanitaka, call me maybe
kama unanipenda, basi nionyeshe
hook
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
nakutaka asubuhi, mchana, usiku silali
outro
silali (silali…silali…lali…lali)
silali (silali…silali…lali…lali)
Random Song Lyrics :
- crazy? i was crazy once - aurora falls lyrics
- come thou fount - ashley cleveland lyrics
- fridaytown - val astaire lyrics
- солнце гаснет (the sun goes out) - straniza lyrics
- for the night - holler lyrics
- hug - эточе (etoche) lyrics
- mean spirited - dairy products lyrics
- digital miasma - mind.in.a.box lyrics
- my time - angel janae lyrics
- novo - anders ram lyrics