lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ananijali (god cares for me) - quest nairobi chapel lyrics

Loading...

nimeomba,
tena sio mara moja, kwa roho na kwa kweli
bali sij-pata, majibu yangu kuyaona

adui shetani muongo
asema yakwamba mwenyezi mungu, yeye hanijali bali
siwezi, sitomkubali
ninayo hakikisho, ya kweli mimi ninajua

ananijali

sitokubali kuzama kwenye maji
ananipenda yeye ni mwema

ni za dunia
zangu hizi shida, hazitanizuia, kukutumikia
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima

kwani ulisema yote yamekwiska
sitababaishwa, ninajua yatapita
kwani, baada ya usiku giza
ninayo hakikisho, asibuhi itafika, kwani
ananijali

sitokubali kuzama kwenye maji
ananipenda yeye ni mwema

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...