si ulinikataa - q-chief lyrics
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona mi nafaa
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona mi nafaa
kosa langu kosa langu ni lipi baba
kosa langu kosa langu ni lipi baba
ulinikana tangu tumboni
ukamkana hadi mama ‘angu
nyumbani nyumbani wakamf*kuza
shuleni shuleni wakamf*kuza
wakamuita malaya kwa mimba aliyobeba
yaani mimi jamani jamani jamani
miezi tisa ilipoada chini ya mbuyu nikazaliwa
mif*ko ya rambo nikafunikiwa
ili baridi lisinipige
kwa presha ya mawazo
mama ‘angu mama ‘angu mama ‘angu
akaiaga dunia mama ‘angu
nalia nalia nalia mimi nalia
nalia ukiwa wa mama yangu
nalia mimi nalia niacheni nilie
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona mi nafaa
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona mi nafaa
mpita njia mpita njia akaniokota
akanilea akanisomesha
nikamthamini akanithamini
nikamuita mama akajibu mwanangu
leo nimekua kanisimulia
inauma sana unajua
inakera sana unajua
eti mtu baba ‘ako yupo
ila hakujali wala hakupendi
hana time na wewe
inauma sana inauma sana
moyo w*ngu sijui kama utaweza msamehe
moyo w*ngu sijui kama utaweza
sijui kama nitaweza
nimejaribu nimeshindwa
k*msamehe mimi siwezi
siwezi muhuk*mu namuachia mungu baba
namuachia mungu muumba wa vyote
si ulinizaa wewe (baba) ukanikataa (ukanikataa)
sasa iweje unaona mi nafaa (leo nafaa)
si ulinizaa wewe ukanikataa (maisha yameninyookea)
sasa iweje unaona mi nafaa (wewe baba)
si ulinizaa wewe ukanikataa (kukusamehe siwezi)
sasa iweje unaona mi nafaa (leo nafaa)
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona mi nafaa
(mambo yameninyookea
ndio unaona nafaaa baba)
Random Song Lyrics :
- proud of me - lil dozy lyrics
- up to you - izzy staden lyrics
- ntm (kachow#3193) - woodokay lyrics
- te tereny - belmondo lyrics
- amanhece a era da grande unificação - forgotten winter lyrics
- memorandum - montay lyrics
- my ufo contact from reticulum - pineal glands in springtime lyrics
- classicità - chicoria lyrics
- go up boy (向上吧少年) - teen in times/tnt (時代少年團) lyrics
- lời xin lỗi vụng về - quân a.p lyrics