nangatuka - professor jay lyrics
Loading...
yeah
napiga goti natubu
kwa mungu w-ngu na jamii
nimefanya mambo mengi
kwa kutumia cheo
naamini cheo dhamana
nisamehe nisamehe
nang’atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
mwenyeenzi k-mbuka na nafsi hii
napiga goti natubu daima nitakusihi
nang’atuka nimeshaikosea jamii
nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania
mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa
tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee
mkanipa na kusababsha uchumi ulegee
kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura
nasisitiza sana masuala ya ajira
k-mbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila
hata mashori w-ngu niliweka mataahira na kusababsha uongozi w-ngu upoteze dira
Random Song Lyrics :
- aminin - faith ruiz lyrics
- tell your mama - tim goodman lyrics
- past due - crwn lyrics
- o céu em mim (ao vivo) - diante do trono lyrics
- prt - diss young lexx freestyle rap - pandu winoto lyrics
- big rocks, kick rocks - big mooky lyrics
- outro старомоден - особов (osobov) lyrics
- afterparty (snippet 23.12.2023)* - august lyrics
- tại sao phải là em - đoàn vy lyrics
- oceano - ele a lyrics