una - prof. jay lyrics
profj
una suranzuri
na tabia ya kuvutia
unaweza ukaishi popote katika hii dunia
una tabasam pana la huba, sauti nyororo
kweli kwako na kiri umenifunga minyororo
siwezi kuita hii ni limbwata hata
mi nabisha kwenye hili swala mi nakataa
una sura ya mviringo
mzuri huna maringo
wallet imenenepa mithili ya mama bingo
una * meno yaliyo banana huna pengo wala mwanya
kidani cha ulimi mama nacho hunichanganya sana
una macho macho madogo yasiyo hitaji miwani
hani kiukweli kweli umeni kamata jamani
una *shingo ya kuvaa cheni nyembamba kiasi kwamba
unatishia sana namba kwa wote wanaojigamba
una macho legevu utadhani umevuta wida
ni kama baba lita walamoja demivida
una chuchu kiduchu daima zanipa uchu
simezi simung’unyi nahema tu nusunusu
una hips kama umeficha panya ,unanichanganya
daima we ni w*ngu wa kufa na kuzikana
kiitikio
una*ngozi laini tema ya kung’aa
una* niua zaidi na hilo bambataa
una*sifa zote ambazo mi n*z*penda
napenda tuwe wote kila seheme unayo kwendax2
ngwair
eyo n*z*zi, masham sham kwako simalizi
nabalizi, unangozi kama ya n*z*z
macho ya kij*panizi
kwako nishafika nafsi yangu imekita
kifuani chuchu saa sita, machoni mtoto unaniita
binti umejaliwa busara uzuri na utashi
una nakshi napenda harufu yako nzuri ya marashi
malkia wa moyo wewe pekee ndio fahari ya nafsi
usiuwe na wasi, njoo sogea karibu yangu basi
najiona niko ndotoni, nadeka kama utotoni
mwingine kamwe sioni nakupenda toka moyoni
una jicho la kleopatra mtoto hujui kunata
mwanya kama aminata ndomama mwenzio nadata
una tumbo dogo lenye mvuto sio kitambi
unajua kubembeleza kwa lugha isiyo na komandi
una midomo kasuku na joto lenye hisia
dia una rangi yenye mng’aro na nuru isiyo fifia
sikia, ujenzi wa mapenzi unakwenda ngazi kwa ngazi
niamini nikuamini ili tuyaepuke maradhi
kiitikio
una*ngozi laini tema ya kung’aa
una* niua zaidi na hilo bambataa
una*sifa zote ambazo mi n*z*penda
napenda tuwe wote kila seheme unayo kwendax2
prof j………
una akili zaidi ya linkoni, na unapenda kusoma
kwanza unatafakari kwa yote unayo yaona
hutazami tu ya leo unafikiri na kesho
hata usipoelewa unaomba kueleweshwe
kitovu cha kuweka pini mguu wa kimini
umekaa sanaa akilini niamini f*kara mimi
miguu mithili ya chupa ya bia aina ya taska
heshima na mapenzi ya kweli yasiyo na mafuta
ngozi laini udhani naskrachi vocha
midomo yako na ulimi huwo ni uchawi tosha
una nibamba sana kwa jinsi ulivyo stable
una thamani zaidi ya mpira mweusi wa pull table
mikono yako laini ya kushika simu ndogo
nahisi, utumbo wako haupitisi mihogo
hakika wewe ni w*ngu tuzo maishani mw*ngu
daima unastahili kuwepo ubavuni mw*ngu
kiitikio
una*ngozi laini tema ya kung’aa
una* niua zaidi na hilo bambataa
una*sifa zote ambazo mi n*z*penda
napenda tuwe wote kila seheme unayo kwenda x2
Random Song Lyrics :
- chewing gum (chinese version) - nct dream lyrics
- não teria coragem - g.azinn lyrics
- as long as she needs me - buddy greco lyrics
- думки в голос (dumky v holos) - фрай (@fry.frai) lyrics
- ноунейм(noname) - centuria lyrics
- bud light the way - owen riegling lyrics
- steroid* (snippet 06.04.2024) - trapkidd (ru) lyrics
- never be lonely (reimagined) - the feeling lyrics
- essere felici come nei libri d’inglese - edgar allan pop lyrics
- des teufels don kosaken - weena morloch lyrics