kasha - pozi lyrics
intro
kama uko fiti fiti fiti yeah yeah yeah salamu hazitoshi wowo wo yeah
verse 1
waitwa nani waishi wapi, kipusa kama wewe wanipagawisha (nimekuona siku nyingi tena huringi) wewe uko bomba hutishwi na shilingi waitwa nani waishi wapi, kipusa kama wewe yapaswa kuwa nami, waitwa nani waishi wapi, sipendi kuropoka usije katoroka
chorus
sasa mambo fiti fiti fiti sana salamu hazitoshi lazima nitakuja na kasha kasha kasha langu
verse 2
najua unadhani mi nichizi ni dakika thelathini hujasema kitu(mbona)samahani naitwa pozi na si mchokozi nina swali unaishi wapi unaitwa nani kidosho kama wewe (kama wewe)unafaa (unafaa)kutabasamu,ukinuna mi nanuna ukicheka mi nacheka usiponipa namba mi ntakufuaata(ntakufuaaata)
chorus
sasa mambo fiti fiti fiti sana salamu hazitoshi lazima nitakuja na kasha kasha kasha langu x2
bridge
vipi ungekuwa bibi ingekuwa vipi ingekua mimi sisi tungeishi bila ubishi na mapenzi halisii wewe na mimi tuwe bwana na bibi
chorus
sasa mambo fiti fiti fiti sana salamu hazitoshi lazima nitakuja na kasha kasha kasha langu x 3
kama uko fiti fiti fiti yeh yeh yeah salamu hazitoshi wowo yea
Random Song Lyrics :
- you were speeding - frantics lyrics
- #freewick2 - kankan lyrics
- lose sight - srrygate lyrics
- gazi - gazda paja lyrics
- in the pocket - chuck brown and the soul searchers lyrics
- try it babe - the brothers of soul lyrics
- twitch - gola gianni lyrics
- invisible - sharone lyrics
- my whole life - kate the dreamer lyrics
- i will get there(a lullaby) - sarah patil lyrics