lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tufanye?? - polaris pauline lyrics

Loading...

ni kama naelewa lakini sielewi
dunia nzima uliona mi ndio mshenzi
na hii tabia sijaiona na watu wengi
na haya huna ukisema ni mapenzi

na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye
na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye

itabidi sisi tujipange
sina uwezo bila kiburi
na walahi tena nijipate
mimi unaletea ujauri

na hunijui na siamini
ati k*mbe
si wewe ni mimi

na hunijui na siamini
ati k*mbe
si wewe ni mimi

na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye
na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye
sa tufanye??
sa tufanye??
sa tufanye??
sa tufanye??

na sa tufanye??
sa tufanye??
na sa tufanye??
sa tufanye??

na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye
na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye

na vile umejam vile umejam
na mi nimejam mi nimejam

na vile umejam sa tufanye
na mi nimejam sa tufanye

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...