lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

faaji - planet b babey lyrics

Loading...

its okayyy
planet b…..hamadoo
(its hamadoo on the beat)
diva wa kisasa mapenzi ya kitambo
kanitoa darasa kanipeleka unyago
nikape banana, kanipe mango
kawashe mw*ngaza kanipofue macho
make am know, make am know, yiih
if you love me make am know
umenioverdose overdorse
kata taratibu, unipe panadol
{hook}
umeni*gusa kinyama sikutegemea
ukiniacha ntabaki nikiteketea
aah tena, posti picha zetu everywhere waone wivu wee
umenigusa sikutegemea
ukaniacha nibaki nikiteketea eeh
posti picture zetu everywhere waone wivu weee aaha

(chorus)
wenzangu silali, mapopo
ongeza mizuka misokoto
faaji faaji yaani prokoto
leo timba timba kikokoto
whine dat ting*2
go like me mama go like dis
two by two twende three by three
she no like money she jus likes me
drop and collect
toa niconnect*2

verse 2
reggaeman mi nakupa vibes, kamata ukuta unaogopa nani
maria come over tonight, i wanna dip chocolate ndani ya asali
kanamenya ndizi na upengo, aaee
kaniponya homa bila mentho, aaee
mi kwako sitoki siondoki siogopi wengine siwaoni
{hook}
umenigusa kinyama sikutegemea
ukiniacha ntabaki nikiteketea
aah tena posti picha zetu everywhere waone wivu wee
umenigusa sikutegemea
ukaniacha nibaki nikiteketea eeh
posti picture zetu everywhere waone wivu weee aaha
chorus
wenzangu silali (mapopo)
ongeza mizuka (misokoto)
faaji faaji yaani (prokoto)
leo timba timba (kikokoto)

whine dat ting *2

go like me mama go like dis
two by two twende three by three
she no like money she jus likes me
drop and collect (drop and collect)
toa niconnect (toa niconnect) *2

ado ado ado, (aah) ado ado ado *2

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...