sikuachi - pittyboy lyrics
i wanna take you out
inna mah lunch
just say your favorite places
set the date and the time yeah
my baby she′s so fine fine fine
i want you to meet my mama
will you be my wife wife wife?
mother to my kids, you never know
i wanna go far with you
love love love love love
i wanna grow old with you
love love love love love
my sweetie, mtoto, my lover
my sweetie, mtoto, my lover
eeh nampenda
kikweli mimi nampenda
sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi
kwanza kanikosha roho (iyee aah iyee ahhh)
mahaba kayajaza ndoo (iyee aah iyee ahhh)
mapenzi yamenikata kati maini (maini)
na kwenye simu nimekusave mine (mine)
na vile umenishika tighty
aah iyee aah
nimeganda, nimezama
kwako niko hoii
aah iyee aah
one! i need you
two! i miss you
three! i love you
wherever you go baby i go go
sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi
jiko bila jivu ni moto
sikujua niko juu wala chini kushoto
kama vila kiwi na makeup
zinapaka zote viatu same na hii ha ooh
sasa hivi nacheka
maumivu yamekwisha
kila siku kukesha mami yeah
we ndio my boo boo boo
sitaki story mob baby show me boo
yeah! yeah!
mara eeh mara ooh, mara nataka banana
mara usinipe, nipe nataka kuifanya
natetema nikihema, naover*do kuchecheka
niende wapi sasa hivi wa moyo amenishika
sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi
Random Song Lyrics :
- ahoi - hämatom lyrics
- bloodsport - the retrosic lyrics
- woke - lil weep lyrics
- so much better - rockapella lyrics
- wind on the water - lana lane lyrics
- with a kiss - dylan gardner lyrics
- another day - marching band lyrics
- dipped - the cool kids lyrics
- losing touch - bellevue days lyrics
- queixa das almas jovens censuradas - josé mário branco lyrics