lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyundo - pillars of faith lyrics

Loading...

nilikua kwenye halaiki yesu alipokufa.
nikamuona alivyonililia, mwokozi w-ngu
nikaliona taji la miba, na vijito vya damu yake.

huyu ndiye tabibu wetu, sasa mmemfanyia nini
nikajitosa miguuni na kwa hasira nikaita.

ni nani kamtundika hapo juu, mtoto wa amani?
ni nani kamtundika hapo juu? jitokeze unikabili
ni nani kamtundika hapo juu? na halaiki ikanichekelea nikageuga nikaiona nyundo mkononi mw-ngu

mimi mwanajeshi wa kirumi, mtu wa kawaida.
nina mpenzi na watoto w-ngu. najikaza tu
ni vipi ningemuua yesu? kweli kuna mtu mwingine. siwezi beba hizo lawama. kuna kuchanganyikiwa hapa
siwezi kuwa mshukiwa. ni lazima mniambie

ni mimi niliyemtundika juu, mtoto wa amani
ni mimi niliyemtundika juu. ndimi mshukiwa mkuu. ni mimi niliyemtundika juu kwa dhambi hata na maasi yangu. mwenye imani ninapoasi nampiga nyundo tena (2)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...